Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

Kwenye uislam kufunga ni lazima kwa mtu aliye balehe. Labda uwe na sababu za msingi ambazo uislam umezitaja. Mfano kuwa kwenye hedhi, kuumwa, nk.

[Enyi mlioamini! Mmelazimishwa kufunga (Saumu) kama walivyolazimishwa waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha Mungu] [Al-Baqarah โ€“Aya 183].

Kuhusu walichokifanya hao askari ni kinaweza kuwa sio sahihi na kinaweza kuwa ni sahihi pia sababu serikali ilishatangaza hakuna kula hadharani, wewe kwanini upingane na katazo la serikali?
 
Unayosema kuwa kufunga lazima najua kwamba kufunga ni faradhw.
Ila nazungumzia mlengwa wa dini nyingine kufunga haimhusu na haitakiwi muathiri japo na yeye asichupe mipaka.
Kuhusu sheria ya Zanzibar nimeizungumzia kwa utashi wa dini kuwa hakuna sheria hiyo ila kwa utashi wa kiserikali wamejiwekea hiyo sheria basi sawa.
 
Mkuu,

Unasema imani za watu ziheshimiwe.

Waislamu walio Uingereza nao walazimishwe kutofunga na kula nguruwe kwa sababu imani za watu ziheshimiwe?

Au hii heshima ni special kwa Waislamu tu?

Waislamu walio india walazimishwe kutofunga na kula nguruwe kwa sababu imani za watu ziheshimiwe?

Au hii heshima ni special kwa Waislamu tu?
 
Kubwa LA majini katika ubora wake, ni taratibu za dini au utamaduni?
 
Hakuna kufunga ni kushinda njaa . Unafunga ila una hasira na mtu anayekula? Very stupid
 
Haya serikali imekataa nashangaa ushetani na ukatili ambao serikali umeukataa dini ndo inaung'ang'ania..
Hii dini haifai hata kuowa au kuolewa nayo
 
China ashafanikiwa kuondoa huu uoozo India nayo ipo vitani huko ulaya ndo kabisa watu wamesema kuliko kuchomwa moto Jehanam kisa kuwa Muslim bora wachome kisa ni mashoga zambi ya kuwa Muslim ni mbaya kuliko dhambi zote
 
Kuna ufala umekuwa common UK na US,hawa mbuzi siku hizi wanaamua kusali barabarani na mitaani na majengo ya misikiti ipo๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Nimeona malalamiko ya raia wa UK wanajuta kuwakaribisha hawa watu ni tatizo.
 
๐Ÿ”น Kama una support hilo basi ifurahie na ukubaliane na waislamu wanaouawa kule India yenye majority ya wahindu hivyo watu wote wanalazimishwa waabudu ngombe na madude mengine na misikiti inabadilishwa kuwa hekalu

๐Ÿ”น Kama unafurahia huo upuuzi unaofanyika huko Zanzibar kwa sababu ya sheria za kidini basi ukubaliane na wayahudi wanavyoua wapalestina ukanda wa Gaza kwa sababu Wana maandishi ya Musa yanayosema hiyo ni eneo lao la ahadi wslioahidiwa na Mungu

๐Ÿ”น Unapokuwa sehemu ambayo ninyi ni majority ni jukumu Lenu ku safe guard haki za minority na sio minority wa safeguard haki za majority
 
Kuna dini ukizifata lazima uwe chizi na kama sio chizi basi uwe ndondocha ...hivi kufunga ufunge ww kwa faida yako ww sasa kula yangu inakuhusu nini kama sio usengerema.Kuna shekhe mimavi mmoja tumeenda kuzika akaanza kuleta kauli za kupnda dini nyingine mm nikampa za uso sizani km yule mpuuzi atakujaga kurudia ujinga wa kudharau dini nyingine.
 
Wewe hutujui wazanzibar na wala hujui uislamu ulivyo, unabahatisha tu.
Tangu lini uislamu ukaruhusu watu wanaokula hadharani kupigwa?

Nchi yenye waislam 99.9% inakuwaje imejaa mateja, malaya, mabwabwa, walevi, vibaka, washirikina kila mtaa?
 
kimsboy naulizaje?? Mbona wakristo walivyokuwa wanafunga hamkuchapwa nyie hayo matako yenu au kufungwa jela kisa upuuzi huu mnaongelea . Nchi yeyote duniani ni huru kufanya watakayo. Umefunga wewe ni wewe . Sio kila mtu eleweni mtakuja poteza watalii kosa utahira eti mnawachapa watalii mxiuu kosa nini hasa nyie waislam mnatuchoshaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ