Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikae ndani vipi? Yani mm nimepita mfano kibanda cha chips kwahyo nisile hapo nibebe niende nazo ndani?Kwani kuna ubaya gani mtu ukala ndani kiustaarabu dada angu??
Kuna ubaya gani ukienda kulia ndani??Nikae ndani vipi? Yani mm nimepita mfano kibanda cha chips kwahyo nisile hapo nibebe niende nazo ndani?
Kuhusu watu kuadhibiwa kula hadharani ZANZIBAR hilo naliunga mkono.Imani za watu ziheshimiwe
Unajua nashindwa kuelewa watu wanatokwa na povu kwa suala dogo kama hili kwani haswa wakati taratibu za wenzetu zipo wazi?
ZANZIBAR hakuna aliyelazimishwa kufunga ispokua utaratibu wa kule unakataza mtu kula hadharani hasa kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Na mnajua ZANZIBAR asilimia 99.999 ni waislam, na lazima tamaduni za watu ziheshimiwe kama unataka kula mchana we kula tu lakini sio vizuri kula hadharani maana yake utakua unafundisha nini jamii?
Kwa huku bara hata mtu ukila ni sawa tu maana humu tumechanganyikana watu wa dini tofauti ZANZIBAR wengi ni waislam na nashangaa watu mnatokwa na mapovu kwenye hili
Ni ushetani mkubwa kutokua na haya na kwenda kula public mwezi wa ramadhan katika jamii ambayo ni waislam watupu kwanini usitafute mahala kwako au ndani kwako ukala?Kwanini ule hadharani?
Kuna mtu kahoji kwahiyo mbona sisi kwaresma huwa hatuwagusi waislam ambao unakuta hawajafunga?Swali ni mkristo yupi anafungaga kwaresma?Mimi nimekulia sehemu zenye Christian majority sijawahi kuona mtu kafunga hata kwa bahati mbaya....Kwahyo msipende kucompare dini za watu, kama mnaridhika imani zenu kuchezewachezewa kwasababu zishakua "imani cheap" ni nyie ila sio uislam.
Uislam sio dini ya masihara na mchezomchezo ndo maana ndo dini inakua kwa kasi kidunia na ipo tokea karne pamoja na kupigwa vita vya kimwili na kiroho.Watu washaacha dini yao ishaharibiwa huko na kuchezewa vya kutosha sasa wanataka uislam iwe dini ya hivyo hilo No!!
Mnaotokwa na mapovu kuhusu sakata la kula kumbukeni ZANZIBAR asilimia 99 ni waislam kwahyo tamaduni za walowengi ziheshimiwe..
Kama ulikua na mikiu yako ya kula minguruwe yako ungeenda kujifungia ndani ule kwa raha zako!! Msipende kuwaponza waliofunga!!Mimi naunga mkono wachapwe tu.kila mtu aheshimu imani ya mwenzake kama ambavyo yake huheshimiwa.
Mimi muislam ila hii sheria sijaikubali.Kuhusu watu kuadhibiwa kula hadharani ZANZIBAR hilo naliunga mkono.Imani za watu ziheshimiwe

Kwahyo Zanzibar ni Islamic State?Kuna ubaya gani ukienda kulia ndani??
Hata ukila ndani ya kibanda sawa ila sio hadharani.
sheria inakataza kufanya hivyo sawa, basi tuamini hivyo, hoja ni je, sheria imesema mtu akamatwe na kupelekwa vyombo vya dola au achapwe viboko na raia? yaani raia wajichukulie sheria mkononi?Mimi muislam ila hii sheria sijaikubali.
Ni mambo ya kijinga kwa mimi navyoona.
Nafikiri suala ambalo linabidi tulifahamu ni hekima tu. Kama inavyosemwa; Ukiwa Roma fanya kama Roma wanavyofanya.ninachoshangaa, unasema kula mwezi wa ramadhani ni ushetani, bila kujua kuwa uislam wenyewe ni ushetani. au tukufafanulie zaidi huo ushetani? utakuwa tayari kupata za uso?
Nakuunga mkono kaka! Umenena vyema kabisa.Kuhusu watu kuadhibiwa kula hadharani ZANZIBAR hilo naliunga mkono.Imani za watu ziheshimiwe
Unajua nashindwa kuelewa watu wanatokwa na povu kwa suala dogo kama hili kwani haswa wakati taratibu za wenzetu zipo wazi?
ZANZIBAR hakuna aliyelazimishwa kufunga ispokua utaratibu wa kule unakataza mtu kula hadharani hasa kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Na mnajua ZANZIBAR asilimia 99.999 ni waislam, na lazima tamaduni za watu ziheshimiwe kama unataka kula mchana we kula tu lakini sio vizuri kula hadharani maana yake utakua unafundisha nini jamii?
Kwa huku bara hata mtu ukila ni sawa tu maana humu tumechanganyikana watu wa dini tofauti ZANZIBAR wengi ni waislam na nashangaa watu mnatokwa na mapovu kwenye hili
Ni ushetani mkubwa kutokua na haya na kwenda kula public mwezi wa ramadhan katika jamii ambayo ni waislam watupu kwanini usitafute mahala kwako au ndani kwako ukala?Kwanini ule hadharani?
Kuna mtu kahoji kwahiyo mbona sisi kwaresma huwa hatuwagusi waislam ambao unakuta hawajafunga?Swali ni mkristo yupi anafungaga kwaresma?Mimi nimekulia sehemu zenye Christian majority sijawahi kuona mtu kafunga hata kwa bahati mbaya....Kwahyo msipende kucompare dini za watu, kama mnaridhika imani zenu kuchezewachezewa kwasababu zishakua "imani cheap" ni nyie ila sio uislam.
Uislam sio dini ya masihara na mchezomchezo ndo maana ndo dini inakua kwa kasi kidunia na ipo tokea karne pamoja na kupigwa vita vya kimwili na kiroho.Watu washaacha dini yao ishaharibiwa huko na kuchezewa vya kutosha sasa wanataka uislam iwe dini ya hivyo hilo No!!
Mnaotokwa na mapovu kuhusu sakata la kula kumbukeni ZANZIBAR asilimia 99 ni waislam kwahyo tamaduni za walowengi ziheshimiwe..
Kama ulikua na mikiu yako ya kula minguruwe yako ungeenda kujifungia ndani ule kwa raha zako!! Msipende kuwaponza waliofunga!!Mimi naunga mkono wachapwe tu.kila mtu aheshimu imani ya mwenzake kama ambavyo yake huheshimiwa.
Hapo kweli wamefanya kosa.hakuna sheria inaelekeza wachukue sheria mkononi kupiga wenzao fimbo, wamejirekodi wakifanya hivyo, tunatarajia mwinyi aelekeze wakamatwe ili wachukuliwe hatua za kujichukulia sheria mkononi. ama la, yeye anabariki ukatili huu.
Sijakuelewa.sheria inakataza kufanya hivyo sawa, basi tuamini hivyo, hoja ni je, sheria imesema mtu akamatwe na kupelekwa vyombo vya dola au achapwe viboko na raia? yaani raia wajichukulie sheria mkononi?
Sijasema Zanzibar ni Islamic state ila inajinasibisha na sheria za kiislam.Kwahyo Zanzibar ni Islamic State?
Kwahyo zanzibar hakuna wakristo...
SawaSijasema Zanzibar ni Islamic state ila inajinasibisha na sheria za kiislam.
Mie siungi mkono maana sheria ya kiislam haisemi hivyo pia sitetei maana kama wao walitangaza kwanini huyo akakiuka sheria?