Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidi sana mkuu kutumia uwezo wako wa kufikiri mbali na uliyoambiwa,ulioona,uliyosikia au uliyosoma.fikiri tu mkuuKuhusu watu kuadhibiwa kula hadharani ZANZIBAR hilo naliunga mkono.Imani za watu ziheshimiwe
Unajua nashindwa kuelewa watu wanatokwa na povu kwa suala dogo kama hili kwani haswa wakati taratibu za wenzetu zipo wazi?
ZANZIBAR hakuna aliyelazimishwa kufunga ispokua utaratibu wa kule unakataza mtu kula hadharani hasa kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Na mnajua ZANZIBAR asilimia 99.999 ni waislam, na lazima tamaduni za watu ziheshimiwe kama unataka kula mchana we kula tu lakini sio vizuri kula hadharani maana yake utakua unafundisha nini jamii?
Kwa huku bara hata mtu ukila ni sawa tu maana humu tumechanganyikana watu wa dini tofauti ZANZIBAR wengi ni waislam na nashangaa watu mnatokwa na mapovu kwenye hili
Ni ushetani mkubwa kutokua na haya na kwenda kula public mwezi wa ramadhan katika jamii ambayo ni waislam watupu kwanini usitafute mahala kwako au ndani kwako ukala?Kwanini ule hadharani?
Kuna mtu kahoji kwahiyo mbona sisi kwaresma huwa hatuwagusi waislam ambao unakuta hawajafunga?Swali ni mkristo yupi anafungaga kwaresma?Mimi nimekulia sehemu zenye Christian majority sijawahi kuona mtu kafunga hata kwa bahati mbaya....Kwahyo msipende kucompare dini za watu, kama mnaridhika imani zenu kuchezewachezewa kwasababu zishakua "imani cheap" ni nyie ila sio uislam.
Uislam sio dini ya masihara na mchezomchezo ndo maana ndo dini inakua kwa kasi kidunia na ipo tokea karne pamoja na kupigwa vita vya kimwili na kiroho.Watu washaacha dini yao ishaharibiwa huko na kuchezewa vya kutosha sasa wanataka uislam iwe dini ya hivyo hilo No!!
Mnaotokwa na mapovu kuhusu sakata la kula kumbukeni ZANZIBAR asilimia 99 ni waislam kwahyo tamaduni za walowengi ziheshimiwe..
Kama ulikua na mikiu yako ya kula minguruwe yako ungeenda kujifungia ndani ule kwa raha zako!! Msipende kuwaponza waliofunga!!Mimi naunga mkono wachapwe tu.kila mtu aheshimu imani ya mwenzake kama ambavyo yake huheshimiwa.
Binafsi yangu nimeishi kwenye jamii nyingine ambazo ni za imani tofauti na mimi au tamaduni tofauti ila nilifanikiwa pakubwa kuishi nao kwasababu niliishi kwa kutii taratibu zao na mambo yalienda vizuri tu.
Si Kila mtu unayemuona mahali Fulani anatokea eneo hilo, mwingine ni mgeni hivyo hana sehemu ya ndani ya kujificha ili apate kula.Kuhusu watu kuadhibiwa kula hadharani ZANZIBAR hilo naliunga mkono.Imani za watu ziheshimiwe
Unajua nashindwa kuelewa watu wanatokwa na povu kwa suala dogo kama hili kwani haswa wakati taratibu za wenzetu zipo wazi?
ZANZIBAR hakuna aliyelazimishwa kufunga ispokua utaratibu wa kule unakataza mtu kula hadharani hasa kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Na mnajua ZANZIBAR asilimia 99.999 ni waislam, na lazima tamaduni za watu ziheshimiwe kama unataka kula mchana we kula tu lakini sio vizuri kula hadharani maana yake utakua unafundisha nini jamii?
Kwa huku bara hata mtu ukila ni sawa tu maana humu tumechanganyikana watu wa dini tofauti ZANZIBAR wengi ni waislam na nashangaa watu mnatokwa na mapovu kwenye hili
Ni ushetani mkubwa kutokua na haya na kwenda kula public mwezi wa ramadhan katika jamii ambayo ni waislam watupu kwanini usitafute mahala kwako au ndani kwako ukala?Kwanini ule hadharani?
Kuna mtu kahoji kwahiyo mbona sisi kwaresma huwa hatuwagusi waislam ambao unakuta hawajafunga?Swali ni mkristo yupi anafungaga kwaresma?Mimi nimekulia sehemu zenye Christian majority sijawahi kuona mtu kafunga hata kwa bahati mbaya....Kwahyo msipende kucompare dini za watu, kama mnaridhika imani zenu kuchezewachezewa kwasababu zishakua "imani cheap" ni nyie ila sio uislam.
Uislam sio dini ya masihara na mchezomchezo ndo maana ndo dini inakua kwa kasi kidunia na ipo tokea karne pamoja na kupigwa vita vya kimwili na kiroho.Watu washaacha dini yao ishaharibiwa huko na kuchezewa vya kutosha sasa wanataka uislam iwe dini ya hivyo hilo No!!
Mnaotokwa na mapovu kuhusu sakata la kula kumbukeni ZANZIBAR asilimia 99 ni waislam kwahyo tamaduni za walowengi ziheshimiwe..
Kama ulikua na mikiu yako ya kula minguruwe yako ungeenda kujifungia ndani ule kwa raha zako!! Msipende kuwaponza waliofunga!!Mimi naunga mkono wachapwe tu.kila mtu aheshimu imani ya mwenzake kama ambavyo yake huheshimiwa.
Binafsi yangu nimeishi kwenye jamii nyingine ambazo ni za imani tofauti na mimi au tamaduni tofauti ila nilifanikiwa pakubwa kuishi nao kwasababu niliishi kwa kutii taratibu zao na mambo yalienda vizuri tu.
Sasa ni waislam gani hao wa Zanzibar wasiojua taratibu za kiislam ?Sio sahihi, tatizo watendaji wengi wa serikali wana mihemko, mtu akikabidhiwa jukumu hulifanya kwa kupitiliza pasi na kuweka mbele utu. Wanajali sana maagizo wanayopewa bila kuingiza utu. Mtume Muhammad (SAAW) ameagiza kuwatendea wema wasio waislam. Na sio dhambi kama muislam atapata wageni wasio waislam mchana wa Ramadhan na akawatengea chakula. Kwani wao funga hiyo haiwawajibikii kisheria.
Hao ni wahuni wasio na elimu na ni watumwa wa mamlaka isiyo na elimu, lakini pia kwa wasio waislam kipindi kama hiki cha mfungo wanatakiwa kufanya matendo ya kutowakwaza waislam kiimani kutokana na majority ya eneo. Yaani mtu asilazimishe kufanya anachojiskia kwenye eneo lenye utamaduni wake kwasababu ya kutegemea yuko huru. Kiufupi tuheshimu jamii ya eneo unapokuwepo kwa kipindi hicho.Sasa ni waislam gani hao wa Zanzibar wasiojua taratibu za kiislam ?
Hao ni wahuni tu kumbe
Utanipangiaje pa kulia chakula changu? Kwani ulinisaidia kukitafuta. Walafi tu nyie. Mtu mzima unashindwaje kujizuia na kuendelea na mfungo wako kisa umemuona mtu akila chakula chake? Nyie ni watoto wenye maumbo makubwa tu. HivyooooKwani kuna ubaya gani mtu ukala ndani kiustaarabu dada angu??
Acha ujinga. Unapata wapi haki ya kunipangia mahali pa kulia chakula changu? Kuna ubaya gani wewe unayefunga ukipita pembeni ukaniacha mie nisiyefunga nakula chakula changu kwa uhuru?!!Kuna ubaya gani ukienda kulia ndani??
Hata ukila ndani ya kibanda sawa ila sio hadharani.
Thibitisha...ninachoshangaa, unasema kula mwezi wa ramadhani ni ushetani, bila kujua kuwa uislam wenyewe ni ushetani. au tukufafanulie zaidi huo ushetani? utakuwa tayari kupata za uso?
yani we akili huna, ufunge wewe uniwekee masharti mimi? mmesoma ila hamjaelimika ujinga ni mzigo aisee!Kuna ubaya gani ukienda kulia ndani??
Hata ukila ndani ya kibanda sawa ila sio hadharani.
wanakula usiku usiku kucha kama panya, hadi wanaseti alarm waamke wale!Niujinga kufunga huku unatamani chakula, Tena mtu ulisha kula alfajiri saa 10:50 alafu mchana unaona wivu watu wakila.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
hahaha, kwahiyo unataka tuamini kwamba ISIS, BOKO HARAM na wenzake sio makundi ya kiislam...1)Unaamini ila ushahidi huna,unaelewa maana ya ushahidi??
Lete andiko linalosema kuwa uislam umeamrisha kuua wasio waislam ikiwemo wakristu.
Maana enzi za mtume kulikua na makanisa pia Mjomba wake Bi.Khadija alikua naswara(mkristu)atumiaye injili na wapo wengine kadha wa kadha na hawakuuliwa.
LETE USHAHIDI KUWA UISLAM UMEAMRISHA KUUA WASIO WAISLAM.
USILETE MANENO MATUPU,LETE KIFUNGU CHA MAANDIKO HAPA.
2)Haufahamu maana ya jihadi,jihadi maana yake jitihada.Jitihada kuitetea dini sio kumtwtea Mungu bali kuitetea dini kihali na mali.Hata kujenga msikiti ni jihadi,hata kununua vitabu vya dini watu wasome ni jihadi hata swadaka ni jihadi,jihadi ya kupigana iliamrishwa pale polutheist wa Makkah walipokua wakiwaonea waislam licha ya kuwa wamehama kwenda Madina.Kama uislam ulikua dini ya fujo basi Mungu angeamrisha wawapige polytheist kule kule Makkah ambako walikua waislam wakiteswa na kuzuiwa kufanya ibada.
Kama unashindwa kutetea imani yako hivi utakua una imani yakinifu kweli??
3)Inaonesha Mungu wenu anabagua viumbe,jini kamuumba nani kama sio Mungu??Inamaana unataka kusema jini kimeumbwa na kiumbe kingine tofauti??Kwa imani yetu mazuri na mabaya yanatoka kwa Mungu.Ndio maana tunasema Mungu ana kudura mbili ya kheri kama neema na ya shari kama mitihani ya kutupima imani.
Jini ni kiumbe kilichoumbwa na moto,shetani sio kiumbe ni sifa chafu ambayo huivaa kiumbe yeyote.Hata wewe unaweza kuwa shetani kwa tabia zako.
Hivyo shetani sio jini bali shetani ni sifa ya uovu anayovaa eidha jini au binadamu.Na licha ya kuwa wapo majini wazuri DINI IMETUKATAZA KUCHANGAMANA NAO MAANA NI VIUMBE TOFAUTI NA SISI.
4)Mtume alimuoa Bi.Aisha akiwa na miaka 9 sio 6.Na hakumuingilia mpaka balehe yake ilipotimia.
Huu ushahidi wa kusema alimuingilia akiwa na miaka 9 unao??
Embu lete huo ushahidi.
Lete pia ushahidi wa kimaandiko kutoka kitabu chetu kinachohimiza uzinifu.
Usiongeee unaamini lete ushahidi hiyo imani umeitoa wapi??
Lete ushahidi.
5)Allah kapiga marufuku uzinifu na kulewa starehe ya wanawake.
Na ametaja uzinifu kama miongoni mwa madhambi makubwa katika uislam.Sheria ni zake kila kitu kaumba yeye akitaka kitu anasema kuwa kinakua.Kuhusu hao mabikira ndio Mungu kaahidi kama zawadi kwa ATAKAYEJITUNZA NA DHAMBI YA UZINIFU MPAKA KUFA KWAKE.Nyie si mnataka wanawake?Basi muahuduni na muache uzinifu atawapa wanawake wazuri huko peponi kuliko hawa mnaowapapatikia.
Dini yetu imenyooka kizuri na kibaya vyote kaumba Mungu kwa minajili yake.
6)Una kichwa kigumu sana.Hili suala kule juu nilielezea kuwa uislam haujaweka sheria ya kumlazimisha mtu afunge kwa dini tofauti,na haujaweka sheria kuwa mtu akila hadharani achapwe hata kama akiwa muislam ndio kala hadharani.
Maana Mungu asema"funga ni yangu na malipo ni yangu ya hiyo funga".
Hivyo huko Zanzibar wametunga sheria kwa matakwa yao ila dini haijaruhusu hilo na hakuna hii sheria katika uislam.
Au hukuelewa kule juu nlivyokueleza??
7)Unaonesha huna exposure kabisa.ISIS,BOKOHARAM,ALQAEDA,ALSHABAB sio makundi ya kidini ya kiislam.
Bali ni makundi ya kipropaganda yanayotumia mlengwa wa dini kutimiza matakwa yao ya kisiasa kwa kuwapotosha vijana hasa kwa maandiko na pesa.
Na unapozungumzia hayo makundi haswa ISIS lazima USA uizungumzie.
Huko ni masuala ya kisiasa za dunia haihusiani na dini huko wewe mweupe yaonekana unasikiliza sana stori za vijiweni.
8)Qur'an imekataza ukatili kwa mwanamke wa aina yeyote ile ikiwemo kumpiga mwanamke.
Mfano kaitafute surah ya 58 katika Qur'an inayoitwa Pleading woman.
Ikizungumzia jinsi Mungu alivyotoa hukumu kali kwa mwanaume atakaemtusi mkewe kwa kumuona ameisha ama hafai(hana mvuto).
Lete ushahidi kuwa uislam umeruhusu kumchapa mwanamke.
SHIDA WEWE UMELETA MALALAMIKO ULIYOSIKIA KWA WATU,HUJALETA USHAHIDI KUWA HAYA MAMBO YAMEANDIKWA WAPI.
Lete ushahidi wa kimaandiko katika hili.
9)Unachanganya madesa,kwanza ni haramu muislam kujihusisha na majini na Allah kakataza.
MAana kushirikiana na majini inaingia katika aina ya dhambi ya ushirikina na ushirikina kosa kubwa katika uislam.
Labda ulete ushahidi kifungu gani cha sheria katika uislam kinasema ili uwe shehe lazima ufuge majini.
Dawa za kisunna maana yake ni dawa za tiba ambazo mtume aliwahi kutumia na zikafaa.
Asilimia mia ni dawa za mitishamba ambazo hutibu maradhi ya kawaida pia hutibu hata maradhi ya kishirikina.
Je hapo kuna tatizo lipi?
Hayo mafuta ya upako mnayotumia ni moja ya dawa za kisunna na yale ni mafuta ya misk na zaituni.
Je na ninyi mnafuga majini??
NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA.
MENGI ULOLETA NI STORI ULIZOSIKIA ILA HAUNA USHAHIDI NA HAUJALETA USHAHIDI WA KIMAANDIKO.
REFERENCE YA UISLAM NI QUR'AN NA HADITHI SASA LETE HADITHI AU QUR'AN ULIOSIKIA AMA KUONA INARUHUSU HAYA UNAYODAI.
LETE USHAHIDI SIO MADAI MATUPU.
NAKUSUBIRI ANDIKA UTUMBO MWINGINE.
Kosa la kula hadharani adhabu ni kupigwa bakora?Kuhusu watu kuadhibiwa kula hadharani ZANZIBAR hilo naliunga mkono.Imani za watu ziheshimiwe
Unajua nashindwa kuelewa watu wanatokwa na povu kwa suala dogo kama hili kwani haswa wakati taratibu za wenzetu zipo wazi?
ZANZIBAR hakuna aliyelazimishwa kufunga ispokua utaratibu wa kule unakataza mtu kula hadharani hasa kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan
Na mnajua ZANZIBAR asilimia 99.999 ni waislam, na lazima tamaduni za watu ziheshimiwe kama unataka kula mchana we kula tu lakini sio vizuri kula hadharani maana yake utakua unafundisha nini jamii?
Kwa huku bara hata mtu ukila ni sawa tu maana humu tumechanganyikana watu wa dini tofauti ZANZIBAR wengi ni waislam na nashangaa watu mnatokwa na mapovu kwenye hili
Ni ushetani mkubwa kutokua na haya na kwenda kula public mwezi wa ramadhan katika jamii ambayo ni waislam watupu kwanini usitafute mahala kwako au ndani kwako ukala?Kwanini ule hadharani?
Kuna mtu kahoji kwahiyo mbona sisi kwaresma huwa hatuwagusi waislam ambao unakuta hawajafunga?Swali ni mkristo yupi anafungaga kwaresma?Mimi nimekulia sehemu zenye Christian majority sijawahi kuona mtu kafunga hata kwa bahati mbaya....Kwahyo msipende kucompare dini za watu, kama mnaridhika imani zenu kuchezewachezewa kwasababu zishakua "imani cheap" ni nyie ila sio uislam.
Uislam sio dini ya masihara na mchezomchezo ndo maana ndo dini inakua kwa kasi kidunia na ipo tokea karne pamoja na kupigwa vita vya kimwili na kiroho.Watu washaacha dini yao ishaharibiwa huko na kuchezewa vya kutosha sasa wanataka uislam iwe dini ya hivyo hilo No!!
Mnaotokwa na mapovu kuhusu sakata la kula kumbukeni ZANZIBAR asilimia 99 ni waislam kwahyo tamaduni za walowengi ziheshimiwe..
Kama ulikua na mikiu yako ya kula minguruwe yako ungeenda kujifungia ndani ule kwa raha zako!! Msipende kuwaponza waliofunga!!Mimi naunga mkono wachapwe tu.kila mtu aheshimu imani ya mwenzake kama ambavyo yake huheshimiwa.
Binafsi yangu nimeishi kwenye jamii nyingine ambazo ni za imani tofauti na mimi au tamaduni tofauti ila nilifanikiwa pakubwa kuishi nao kwasababu niliishi kwa kutii taratibu zao na mambo yalienda vizuri tu.
na hata kama lingekuwa kosa, si mtu akamatwe apelekwe kwenye vyombo vya sheria, ndio raia wajichukulie sheria mkononi kama vile hakuna serikali?Kosa la kula hadharani adhabu ni kupigwa bakora?
Huna ulijualo.hahaha, kwahiyo unataka tuamini kwamba ISIS, BOKO HARAM na wenzake sio makundi ya kiislam...
pia, ni kweli, Mungu tunayemwabudu sisi, amebagua majini hata kama aliyaumba, hana ushirika nayo, hivyo hayamuabudu, majini kwake ni maasi, yaliasi pamoja na shetani kiongozi wao, LAKINI NINYI MNAYAPENDA NA MNASHIRIKIANA NAYO.
mengine sitaendelea kusumbuana na wewe, hicho ulichoandika hapa watakaosoma ndio watakutathmini na kuijua vizuri dini yako.
Hivi uislam unakufundisha ubaguzi kiasi hiki? Zama za ubaguzi zilishapitwa na wakati na hutofanikiwa.Machogo mtoke sasa mfunge virago, hatuwataki huku, na sasa ndio mjue hivyo
Ni njaa zenu zimewaleta huku, ndio maana wote mnafanya vikazi vya ajira tu za kuungaunga,
Hakuna mwenye biashara kubwa wala kampuni au kiwanda, hamna faida yeyeto huku mtoke sasa, tulikuwa tunawalia timing na mmeingia cha kike sasa