Polisi wadai eti Rehema ndo alimuua Athumani Nyanza wa Ilala

Polisi watuambie vizuri
 
Makosa aliyofanya Rehema ya kutumia simu ya Nyanza kutuma meseji kujifanya ni Nyaza ni sawa na Yule wa Gezaulole Hamisi ,halafu wote ni wa KIGAMBONI.
 
Umeshapewa kimoja umelalia tumbo unakoroma Dem anakuja na Kipande cha Nondo anapiga kisogo hata Maji hauombi.
Mme kwa Mke ni easiest target sawa na mtoto mdogo kwa mama..
 
Ulivyoandika heading yako sasa mimi nikafikri labda wewe una majibu! Umetuma neno "eti"
 
Ukiona umepanda gari isiyo sahihi shuka haraka kituo kinachofuata kabla hujakutana na makubwa
 
Mkuu, inawezekana kweli alikuwa mwenyewe. Maana kama angekuwa na mwi/wengine, basi wasingemfukia hapo kirahisi hivyo, na mpaka leo marehemu angeluwa anatafutwa.

Kwenye ugomvi kinamfanya mtu ashinde ni kusudio na sio nguvu. Kama jamaa alidhamiria kumpiga vibao kwa kiganja, basi mwanamke alidhamiria kumpiga utosini kwa msukumio wa chapati..

Kila kitu kinawezekana.

Tusubiri tuone mamlaka zitahitimishaje
 
Inavyosemekana mauaji yamefanyika Kigamboni wakamleta kumzika kwake huko Zingiziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…