Ukiua kuna asilimia kubwa ya kukutwa na hatia lakini kuna watu wengine getting away with the murder na ndio maana kuna serial killers.
Kitu kingine polisi hawafanyi investigation kwa kubinya watu mapumbu hizo ni mbinu za medieval era. Sheria ni kwamba kama sitaki kuongea na polisi hawawezi kufanya kitu mpaka nipate lawyer ndio itakuwa hivyo
Mapori kibao kigamboni na bahari juuBasi walileta kidhibiti nyumbani wenyewe si wangeenda kufukia
Kesi ishakuwa ngumu mkuu 🤣Demu mganga Tena !? 😁😁
Umeeleza vizuri mkuu ila hapo mwisho fafanua zaidi watu wasije elewa tofauti eti kwamba polisi hawawezi kufanya chochote ukikataa kuongea Hadi mwanasheria aje
🤣🤣🤣😄 KabisaKesi ishakuwa ngumu mkuu 🤣
😁😁Haya wale wenye madem mawitchdokta shuguli mnayo 😄
Ova
😁😁fanyeni mazoezi mnamwaga BAO Moja usingizi wa pono unagongwa tu
Usijidanganye mkuu hizo sheria unazoongelea wewe zinafanya kazi ulaya huko na marekani ila sio bongo.Ukiua kuna asilimia kubwa ya kukutwa na hatia lakini kuna watu wengine getting away with the murder na ndio maana kuna serial killers.
Kitu kingine polisi hawafanyi investigation kwa kubinya watu mapumbu hizo ni mbinu za medieval era. Sheria ni kwamba kama sitaki kuongea na polisi hawawezi kufanya kitu mpaka nipate lawyer ndio itakuwa hivyo
Usijidanganye mkuu hizo sheria unazoongelea wewe zinafanya kazi ulaya huko na marekani ila sio bongo.
Kama mtuhumiwa wa wizi tu anachakazwa hadi mwili wote unafunikwa na damu ndio washindwe kukubinya mapumbu?
Tundulisu mwenyewe ni bingwa wa sheria na akisimamiwa na jopo la wanasheria wengine nguli lakini bado analalamika kutotendewa haki akiwa gerezani wewe huyo mwanasheria wako wa kuzuia hilo utampata kutokea dunia gani?
. Nimependa hii kauli na ina ukweli ndani yake tena 100%Ndoa ni vita ambayo adui yako unalala naye kitanda kimoja
Mkuu unaongea kinadharia sana bila kuangalia uhalisia wa mambo yanavyotendeka kwenye ground.Polisi sio mahakama mkuu, hata wakikuvunja mguu haiwezi kumfanya hakimu akufunge. Watu wengi wanakaa mahabusu kwa muda mrefu kwasababu polisi hawana ushahidi.
Sawa Bongo sio Ulaya, lakini sheria ni sheria, tunaongea tu hapa JF lakini, God forbid, kama likikukuta usikubali kwenda chini kizembe kwasababu unaogopa polisi wa Bongo, inabidi kwenda nao kama wanavyotaka
Simu ndiyo zinafanya wakamatwe.Bro to get away with the murder hutakiwi kukimbia bali ni kupoteza ushahidi. Kitu cha kwanza, they don't have to find the body na marehemu anakuwa just a missing person. Ukiulizwa unasema sijui, yaani unakataa inakuwa siri yako to the grave.
Kuna mambo ukiyasikia unashamgaa hicho kidada ukikiona SAWA kaua ila tukubali hakuwa peke yakeNimetoa possibility za mwanamke kumuua mwanaume labda kama hujazisoma.
Mimi nafanya judgment kulingana na hali ya maiti ilivyokutwa.
Kwa mazingira ya mwili ulivyokutwa na majeraha lazima kungekuwa na struggles za jamaa ku defense, ila kama hakukuwa na defense basi hapo doubt itakuwa ni shambulio la ghafla ambalo Nyanza hakuweza kuona likija.
Nachotaka hapa nikufafanulie ni kwamba mazingira yale face to face attacking yangetokea maana yake kungekuwa na trace ambazo zingem direct mwanamke kuwa ni muhusika,.
Yaani wewe unaamini mwanamke peke yake facce to face na mwanaume kwa kutumia mpini amuue bila huyo jamaa kumkwaruza hata kidogo mwilini mwake ili kuonyesha struggle?
Pointi yangu ni hii
Huyu mwanamke inasemekana alimuua Nyanza huko Kigamboni, lakini mwili ulikuja kufukiwa Chanika.
Maana yake sio tukio lililofanywa na mtu mmoja ilikuwa ni collaboration otherwise kama upeo wako unaona ni sawa kufikiria mwanamke mmoja aue, huyo huyo mwanamke ambebe jamaa (akiwa mfu) kutoka KIgamboni hadi Chanika.
Halafu huyo huyo achimbe shimo au akodi watu wakuchimba shimo halafu amfukie na watu wasijue.
Madebe anakua inshu yote ukimsikiliza tu mana ye anasema chanzo ni nyumbaNdio
Naskia room moja pale aliigeuza kilinge
Madebe alikuwa anamshangaa sana Nyanza imekuwaje tena mwanangu uoe demu wa mbanga hizo ila hakutaka kuingilia privacy za watu.
Hukusikia stori za yule jamaa alo muua demu wake kwenye geto akakimbilia burundi mwisho alidakwaMashushushu ni wengi sana bongo kunaswa ni rahisi sana, wewe hujiulizi mtu alikimbia hadi Morogoro ndanindani huko na wamemkamata unadhani polisi walijuaje kuwa yuko Morogoro.
Yaani ili usikamatwe inahitaji uwe na pesa nyingi sana za kuonga barabarani wakati unakimbia hadi ufike mpakani kisha uvuke ukimbilie Burundi huko hapo sawa utanusurika.
Lakini sasa maisha yakikushinda huko Burundi ukirudi hata baada ya miaka 10 unakamatwa kesi inaanza upya.
Mkuu umefanya kosa kubwa sana kuropoka jambo kama hili kwenye platfom inayotumiwa na watu kwa uhuru.Huyu mwanamke nae amefeli sana. Unaua kwa mtindo huo ukidhani hutagundulika?
Mpe mapenzi tele, mpikie chakula kizuri..weka steel wire(steel wool ) ndani ya chakula. Haipiti mwaka kitu kimejibu.
NB: sishabikii mauaji msinipopoe mawe nimelewa.
Hukusikia stori za yule jamaa alo muua demu wake kwenye geto akakimbilia burundi mwisho alidakwa