Polisi wadai eti Rehema ndo alimuua Athumani Nyanza wa Ilala

Mwezi mtukufu wa Ramadhani muislam mzima unafuga mwanamke, asikutoe roho akufanyaje?
 
Nimeshangaa sana
Ila ndicho wanachofanya

Ova
 
SHIDA huanzia hapo hatujui kitofautisha bongo na mambele
 
Huyu mwanamke nae amefeli sana. Unaua kwa mtindo huo ukidhani hutagundulika?
Mpe mapenzi tele, mpikie chakula kizuri..weka steel wire(steel wool ) ndani ya chakula. Haipiti mwaka kitu kimejibu.

NB: sishabikii mauaji msinipopoe mawe nimelewa.
Siku hizi atuli mpaka ule ulichonipakulia na ukigoma nakupa kibano cha intelijensia utahama mji mwenyewe.
 

...Kwa hiyo huyo mwezakejina lake linahidhiwa Kwa Nini ? SI wantaje ? SI na yeye ni Mshukiwa, au ??
 
Chanzo cha kifo cha samson kilikua ni mwanamke ambaye ni delila ila nyuma ya delila kulikuwepo na watu walioshirikiana nae mpaka samson akafa,
Twende kwenye hoja Kiuhalisia mwanamke kumuua mwanaume mwenye akili timamu ni ngumu sana otherwise amfanyie yafuatayo

1: shambulio la suprise kwa kivuli cha upole wake na kuhusiana naye kimwili ili kumuondoa mwanaume kwenye utimamu ndipo katikati ya mchezo amgeuke na kumuua

2: kwa njia ya sumu au kulegezwa na sumu kwenye chakula au pombe kali sana ni rahisi sana maana wanaume tukipewa chakula na wanawake zetu tuna bugia tuu bila kuuliza hata kama kilifichwa uvunguni napia tukiwa walevi hatujielewi ni rahisi kuzurika au kushambuliwa bila kuwa na nguvu thabiti ya kujitetea

3: Mwanamke anaweza kukuua ukiwa usingizini wakati umelala akavizia umelala fofofo kwa uchovu wa kazi na kukupiga na kitu kizito sana kichwani barabara bila kukosea iwe kwa shoka, nyundo nzito, nondo nzito, jabali zito au kukukata na panga kwa ushapu sana bila kupoteza step hata moja,

4: Kwakutumia sila ya moto na kulenga barabara red zone za mwili wako hapa haijalishi utakua timamu au si timamu kiakili.

WANAUME MUDA WOTE TUKIWA TIMAMU TUNAKUAGA NA WASIWASI SANA HIVYO NI NGUMU MNO MWANAMKE YEYE MWENYEWE KUKUVIZIA UKIWA TIMAMU KIAKILI NA KIMWILI


Nb. Huyu mwanamke akibanwa sana kuhusiana na hili tukio lazima kuna vitu atafunguka hapa na huenda basi hata orodha ya washukiwa ikaongezeka.

Ngoja tuone inavyokua
 
Nimeshangaa sana
Ila ndicho wanachofanya

Ova
That's why wanaumme tunawahi kufa.
Kuishi na hawa viumbe ni sawa na kuvaa ticking bomb huku remote kashikilia mke. Any time akijisikia tu ni kitendo cha ku click kitufe unabadilisha status.
Na pengine siri kama hizi wanawake wanazo karne na karne ila kwakuwa hawa wa siku hizi ni viroporopo ndo kama hivi wanazianika hadharani!
 
Huyu mwanamke nae amefeli sana. Unaua kwa mtindo huo ukidhani hutagundulika?
Mpe mapenzi tele, mpikie chakula kizuri..weka steel wire(steel wool ) ndani ya chakula. Haipiti mwaka kitu kimejibu.

NB: sishabikii mauaji msinipopoe mawe nimelewa.
Wanaume njoeni tuweke kikao hapa..

Maxence Melo umeona dada zetu wanavyotufanyia uchawi kwenye chakula
 
Reysha ni Chizi yaani unaua mtu kisha unachimba shimo nyumbani kwake unamfukia ,then unapewa dhamana unakimbia bila hata ya kuwa na hatia si lazima watu watakutilia shaka? Then unawasiliana na ndugu yako morogoro kwa simu kisha unaenda?? Ndiyo maana kadakwa ndani ya siku mbili tu.

Sijui tamaa gani ilimkumba ,mtu ana projects zake za Uganga ,kuuza bidhaa za majumbani bado unaokota pia kwa Athumani zote hazikutoshi akaona bora amuue ili auze nyumba apate pesa ajisnap na kujislay mitandaoni ,yaani 42 bado alikuwa na mambo ya watoto wa BUKU BEE?
 
Hii kitu wanafanya sana

Ova
 

Bora ameongea ukweli wanaume wawe makini ,siyo tu hizo steel waya ,wanawake wanatuwekea mauchafu mengi sana kwenye chakula ,wanaweka hadi damu za hedhi ,wanaweka unga wa mijusi ile myeupe ya ndani ,wanasema huku vilingeni kwao ukiwekewa hivyo hautoboi unakuwa kama wagonjwa wa ukimwi wa zamani.

Ni vile tu Mungu anatulinda lakini tunawekewa MAKOROKORO mengi sana kwenye chakula.
 
Kuna tajiri mmoja jina kapuni,mke wake alicheza deal na watoto wake wammalize baba yao ili avute mali zirudi kwao maana waliona kama baba anabana
Kumbe beki tatu alikuwa close sana na mzee maana alikuwa anamjali sana
Jioni mzee karudi katengewa chakula beki tatu kamtonya mzee,usikiguse chakula
Umewekewa ndivyo sivyo
Ikabidi mzee amwambie mke akile chakula mke akawa ana rukaruka
Yule mzee kdg ampasue risasi ya kichwa mke ila badae akaona acha hili suala alipeleke mbele
Kweli chakula kilipiwa kilikutwa na mauzauza
Jamaa hapo hapo akampiga chini yule mwaanamke,kwa hyo mambo ya kumalizana yapo sana tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…