Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

SIDHANI KAMA KUNA HAJA YA KUHANGAIKA NA MANGE, pa kuparekebisha ni jikoni, jiko linavuja unakimbilia njie utanyeshewa tu. pia waosha vyombo jikoni wana thamani sana..wana ndugu zao wangependa nao wale chakula cha jikoni.
mh! sijui nakosea- ngoja nikimbie......
 
Tatizo alisahau msemo wa wahenga usemao kuwa "Mbio za sakafuni huishia......" na "hakuna marefu yasiyokuwa na ...."
 
Mange ni jeshi la akili kubwa,hawa kina sizonje na ubashite wao hawamuwezi yule bi.kigaguka kubwa la maadui dunia nzima
Kama kuna dunia nyingine hakuma tatizoo kweli yeyeee ni booooonge la kubwaaaaa la maaadui
 
Kwa sirikali ya tanzania kufanya kitu kama cha rwanda ndani ya nchi ya marekani?sijui impact yake itakuwaje.yule anaringia nchi aliyopo inamlinda na ni taifa kubwa
 
Mange pamoja na mawenge yake yote, ila kwa sasa namuhesabia kama shujaa wa Tanzania. Stubbornness na determination yake ndiyo inatusaidia kumtambua Magufuli na utawala wake. Zaidi ya ndugu zangu, account ya Mange ndiyo pekee nayoitembelea Instagram.

Binafsi namuombea mema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…