GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,796
- 4,497
Nadhani akija bongo watamla nyama mzima mzima!Kwa upande wa US ni ngumu sana kumfanyia umafia,labda wamtege siku akitua nchini ndio wanaweza kumnyonga hadharani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani akija bongo watamla nyama mzima mzima!Kwa upande wa US ni ngumu sana kumfanyia umafia,labda wamtege siku akitua nchini ndio wanaweza kumnyonga hadharani.
SIDHANI KAMA KUNA HAJA YA KUHANGAIKA NA MANGE, pa kuparekebisha ni jikoni, jiko linavuja unakimbilia njie utanyeshewa tu. pia waosha vyombo jikoni wana thamani sana..wana ndugu zao wangependa nao wale chakula cha jikoni.Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya
Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?
Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya
Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa pekeyake chumbani
Tatizo alisahau msemo wa wahenga usemao kuwa "Mbio za sakafuni huishia......" na "hakuna marefu yasiyokuwa na ...."Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya
Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?
Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya
Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa pekeyake chumbani
Kama kuna dunia nyingine hakuma tatizoo kweli yeyeee ni booooonge la kubwaaaaa la maaaduiMange ni jeshi la akili kubwa,hawa kina sizonje na ubashite wao hawamuwezi yule bi.kigaguka kubwa la maadui dunia nzima
Kwa sirikali ya tanzania kufanya kitu kama cha rwanda ndani ya nchi ya marekani?sijui impact yake itakuwaje.yule anaringia nchi aliyopo inamlinda na ni taifa kubwaNyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya
Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?
Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya
Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa pekeyake chumbani
Lakini Kiuhalisia document kama hiyo kuvuja ni damage kubwa na inaweza kuondoka na mtuKasema wakimkamata wanaweza kumtahiri bila ganzi so, anataka awape damage ya kutosha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unataka kukimbia na hauna break? what do you expect? BONGO BONGO..... The nation mourns.