Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Atapatikana tu ipo siku isiyo na jina ili ajieleze kuhusu matusi yake na bullying alizowafanyia watu mbalimbali kibaya zaidi kavuka kiwango na kuwatukana mpaka viongozi na records zoote zipo. Kwa Marekani huo ni uhalifu na wala haiko kwenye haki za binadamu kutukana wengine na kuwadharirisha, asidhani atapata kinga yoyote na ukichukulia yeye ni mhamiaji aliyegeuka mhalifu...tusubirini kitakachotokea...Taratibu hii itafika mpaka Interpol....
Pyeeeee
 
Ni loser........hana lolote....habari zenyewe huwa anatumiwa na maloser wenzake.....haeleweki anasimamia upande upi.... wakati wa uchaguzi alimtetea sana rais.... alimpa kila sifa...nadhani alijua JPM akiingia akiwa rais atapata chochote.......alimtukana lowasa na upinzani matusi yeyote....alimdhalilidha kwa style zote.....leo mange huyo huyo kageuka.....kama unavyosema akiwa na chuki na mtu.....mhh....huyo wema anayejifanya mdogo wake anafanya laana zote lakini hajawahi msema vibaya hata cku moja.....wanaomuunga mkono huwa ni maloser wenzake wasiojitambua kama yeye
Kwa taarifa yako kila Taasisi ya umma, asasi za jamii Mange ana informer wa kudumu. Looser ni wewe usiyeijua nchi yako
 
Serikali haina shida na Mange akiwa huko, akitokea bongo imekula kwake, wangetaka kwenda kumfanyia huko ni kazi ndogo sana, Ommy Dimpoz na Ally Kiba tu wameonana na kula chakula pamoja itashindwa serikali kutuma wataalamu wake?
 
Katika nchi yoyote inapojitafutia haki inatafuta mtu mmoja tu awe chanzo, Damu yake inaweza ikalia juu ya nchi na kuanzisha mambo ambayo kila mtu akajiuliza mbona yamekuwa aya yote na madhara yake yanaweza yakawa ya mda mrefu......Soma vitabu vya dini... inasema BINADAMU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA.

Lazima muelewe kuwa chanzo cha Taifa lolote ni nafsi ya kila mtu mmoja mmoja, maana lolote katika nchi uanza na mtu mmoja Tu na viongozi wengi wasio na hekima huzarau kwa kufikiri kuwa ni mtu mmoja tu ana madhara. Ukisoma vitabu vya dini vinasema HAKI huanza kwa mtu mmoja tu...

Kumbukeni mungu akuitaji jeshi kuwakomboa wana wa israel wapate HAKI YAO ila alimuitaji MUSA tu kuwakomboa wana wa israel. Najua wengine mnaweza kudharau na kuuliza yeye ni nani? mkumbuke biblia mungu alimuinua musa sehemu ambayo ajulikana na kumfanya taifa.

Mkumbuke taifa lolote ni mtu mmoja tu biblia inasema alifanya kila taifa la wanadamu kutoka katika mtu mmoja nao wakae katika nchi, nataka muelewe Taifa chanzo chake ni mtu mmoja TU.. Kwa iyo chochote kinachozaanzishwa katika taifa inaitaji moyo wa MTU mmoja Tu kinawe kuzua jambo kubwa sana


Vitabu vya dini vyewewe kuanzia mwanzo mpaka mwisho katika kila jambo ambalo lilitokea lilianzia kwa mtu mmoja tu.. viongozi wanapaswa kutibu ndani na nje patatibika, mkumbuke farao na jeuri yake yote MUNGU alimuonyesha yeye ni mungu wa viumbe wote, Jifunzeni sana hekima mnapokuwa viongozi kwa maana panapo kibuli huja HASARA katika NCHI NDO VITABU VYA DINI VINAVYOSEMA.



MKUMBUKE HUKUMU YA YESU KATIKA BIBLIA
"
Basi walipokutanika, Pilato akawaambia, Mnataka niwafungulie yupi? Yule Baraba, au Yesu aitwaye Kristo? Kwa maana alijua ya kuwa wamemtoa kwa husuda. Na alipokuwa ameketi juu ya kiti cha hukumu, mkewe alimpelekea mjumbe, kumwambia, Usiwe na neno na yule mwenye haki; kwa sababu nimeteswa mengi leo katika ndoto kwa ajili yake.
 
Atapatikana tu ipo siku isiyo na jina ili ajieleze kuhusu matusi yake na bullying alizowafanyia watu mbalimbali kibaya zaidi kavuka kiwango na kuwatukana mpaka viongozi na records zoote zipo. Kwa Marekani huo ni uhalifu na wala haiko kwenye haki za binadamu kutukana wengine na kuwadharirisha, asidhani atapata kinga yoyote na ukichukulia yeye ni mhamiaji aliyegeuka mhalifu...tusubirini kitakachotokea...Taratibu hii itafika mpaka Interpol....
1. Hakuna siku haina jina
2. Kati ya wanaomtafuta Mange wapo wanaomlinda palepale.
3. Siyo kila aliye kwenye taasisi za umma anafurahia usenge unaofanywa na akina Bashite & co.
 
Alipo makonda lazima mapigo ya moyo yashuke huku Kimambi kule Gwajima hapa wazalendo wa jf
Naona Bashite or Makonda wherever anasoma namba kwa herufi kubwa.
Haaaa haaa haaaa huu mchezo hauhitaji hasira.
 
Unawajua wanaompasia hizo nyeti za ndani ya Serikali yako? Hao hao watamtengenezea passport nyingine na kuituma kwake kirahisi sana.

"The Home of Great Thinkers"
Ukiona Mpaka unafanya kitu illegal na ukafanikiwa usijione ww ni mjanja ujue wale wenye kazi ya kuzuia hyo illegal hawajaamua kudeal na ww na siku wakiamua kudeal na ww hata huyo anayekupatia hyo illegal hato pata nafasi ya kufanya hvyo asijulikane kwani ww unadhani serikali ikiamua kumtafuta huyo mtumishi anayemtumia hzo
Classified information wanashindwa kumpata??
 
U know hii ishu ya Mange even USA gvt wanaijua so wako alert na wanajua kunawwza kuwa na jaribio la.kumdhuru so tz haiwezi kuwa wapumbavu na kujaribu kufanya kitu kwenyw ardhi ya USA itakuwa ni act of war between countries ....are u ready for that??? Mwenyewe alisema maofisa wa tz walienda us embay kuomba wakabidhiwe mange but Wakatimuliwa .....so they have to wait mpk arudi
Kibaya zaidi watakapompa asylum kwa upuuzi wa wachache akina Bashite kuwekwa bayana basi Tz itakuwa kwenye ramani ileee sawa na jirani zetu.
 
Nyumba kubwa kunavuja kuna leakage mahali.... Muundo wetu wa habari za siri sio air tight mark tena! Kuna mianya

Mange amekuwa the first to know figure kwenye mambo mengi sana... Ni nani anampenyezea habari nyeti kabisa? Za watu binafsi na hata nyumba kuu? Au ni wale wanajeshi mashushushu waliokuja na Obama Kisha tukawakabidhi paa letu ili waangalie usalama?

Mange amekuwa snowden wa Tanzania.. Lakini sijui Kama kwa hali ilivyo atavumiliwa sana....namkumbuka Ben pekeyake na chatu
Leo kwa habari za chini ya zulia ilitoka hati ya kumkamata pengine huko aliko lakini akainyaka kabla haijamfikia rasmi... Kama kawaida yake kawafungukia mbaya

Namkumbuka Karegeya wa Rwanda na kilichompata hotelini South Africa peke yake chumbani
Kwa nini zinahesabika? USA siyo rahisi,
 
U
1. Hakuna siku haina jina
2. Kati ya wanaomtafuta Mange wapo wanaomlinda palepale.
3. Siyo kila aliye kwenye taasisi za umma anafurahia usenge unaofanywa na akina Bashite & co.
Ufalme wa Mbaba umefitinika!
 
Duuuuh kumbe thread ya mshana jr, wala sikuangalia nikaanza kutiririka.....

Mkuu tushirikiane kumsaidia Mange, I am sure zipo flaws kibao system inafanya siyo kwa National Interest
 
Nakuonea huruma na unatumia verified user name, Mange akikupa kombola moja tu utakimbia mitandaoni kama si kujinyonga maana hadi mke na wazazi,majirani watakuona kituko...

Mfano aweke picha yako kwamba umeliwa tigo , hata ukikana tayari ameshakuchafua coz wengi wataamini na wachache hawataamini
Mkwara wa kitoto sana, followers wake wengine wanamtukana anaishia kuwa block tu na picha zipo insta mbona haja fanya hivyo?
 
b9a52db0eb8b325a1c121f5d1b93371d.jpg
Apo watatafutana, watatumbuana kujua mchawi ni nani aliyevujisha...
 
Back
Top Bottom