Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mange hajafika hata nukta ya levo ya Dalai Lama.Mpuuzi kabisa wewe usieweza kutenganisha mambo na usiejua chochote halafu unajidai unajua!! Nenda kawaambia marekani unamtaka Dalai Lama kwa kubadilishana na gaidi!! Nyumbu wewe
Ingekuwa raisi hivyo mbona mngeshamdaka...mange kawashika pabaya mpaka akili zimewaruka..uwezo wenu nyi ni kuwashika wakina lemma...mange shika hapohapo washachanganyikiwaKuna mtu alikuwa anaitwa ZE UTAMU.Alikuwa zaidi ya Mange.Yeye ni kuchora watu na ku edit picha za matusi na kuweka za watu.Alitesa sana watu,lakini aliingia choo cha kike pale alipomtoa JK akiwa uchi.Alidakwa huko huko Marekani na mpaka leo kimya.
Mange ajue tu kuwa watoto wake wanamuhitaji yeye kuliko hao wanaomlipa.
Serikali ina njia nyingi sana za kumpata Mange kutoka serikali ya Kimarekani.
Ni kulidaka tu gaidi la kisomali ambayo yanazagaa kati ya kenya na Tanzania,wamarekani watamtamani,ndio hapo wataambiwa na sie tuleteeni yuleee!
ThibitishaLa kutungwa hilo!
Kitu cha kutunga kisicho kuwa na tarehe!Thibitisha
mpaka Leo mmeshindwa nini kumkamata...acha mikwara mbuzi weweKuna mtu alikuwa anaitwa ZE UTAMU.Alikuwa zaidi ya Mange.Yeye ni kuchora watu na ku edit picha za matusi na kuweka za watu.Alitesa sana watu,lakini aliingia choo cha kike pale alipomtoa JK akiwa uchi.Alidakwa huko huko Marekani na mpaka leo kimya.
Mange ajue tu kuwa watoto wake wanamuhitaji yeye kuliko hao wanaomlipa.
Serikali ina njia nyingi sana za kumpata Mange kutoka serikali ya Kimarekani.
Ni kulidaka tu gaidi la kisomali ambayo yanazagaa kati ya kenya na Tanzania,wamarekani watamtamani,ndio hapo wataambiwa na sie tuleteeni yuleee!
Unajua kusoma??ile 08 march 2017 kule juu ni niniKitu cha kutunga kisicho kuwa na tarehe!
mange unamlinganisha na wewe uliekaa nyuma ya keyboard una type kama ndezi? Mange ana uwezo wa kupambanua mambo sio wewe unaandika pumba huku!! Ni mara ngapi anatuma clip zinazoonyesha ukiukwaji wa haki za binadamu kwenye page yake, aliefanya walimu waliokuwa kwenye mafunzo wakasimamishwa baada ya kumpiga mwanafunzi kama mwizi ulikuwa wewe? Hizo sio kutetea haki za binadamu, unataka niendelee kutaja? Ni nani alieshikia bango la Kuwaonyesha Watoto waathirika wa HIV na madawa kwenye TV kuliko kuwa kunafanywa na RC? Rudia kwenye post zake kasoma vizuri utaona anafanya yote mawili anatetea haki za binadamu na anapambana na wanaodumaza demokrasia yetu!! Wewe nyumbu huna msaada zaidi ya kujitutumua huku JFanatetea haki zipi za binadamu?unazijua haki za binadamu wewe?
Hee wamdake tena? Kumbe wewe uko hapo Lumumba kwenye buku saba!!!Wamdake huyu mpotoshaji
Huo ujinga elezea familia yako na mke wako hapo nyumbani!!Hakuna nchi inayopenda Siri zake zidukuliwe na kuchezewa hovyo brother, US yenyewe is hunting its own citizen Edward Snowden...na sasa yuko mafichoni Russia....kwenye huo ulimwengu wa intelligence lugha ni moja....huyo mama is better ashauriwe alee vitoto vyake kama anataka kuwaona wanakuwa na wanapata what they deserve....every government has secrets and have to be protected at any costs...
Warussia wenyewe mmarekani anamgwaya!!! Hizi story za vijiweni mnazipata huko mziache huko huko jamani huku!! Huku ni GThivi unauhakika na marekani kumshindwa huyu dogo? vipi kama ukiambiwa huu ni mchezo tu marekani amecheza kwa kumtuma huyu dogo Snowden huko Russia
hivi umenielewa kweli nilichosema? eeeehWarussia wenyewe mmarekani anamgwaya!!! Hizi story za vijiweni mnazipata huko mziache huko huko jamani huku!! Huku ni GT
Mange hana akili zenu mkuu, kwa sasa atakuwa tayari keshapata ukimbizi wa kisiasa sasa Ingia marekani ukamfanyie lolote kama utatoka pale marekani na ukifanikiwa basi huo mgogoro ule wa Malysia na North korea itakuwa cha mtoto!! Mtakojoa mkiwa mmechuchuma japo ni wa jinsia ya kiumeWampandie hewani hukohuko. Hana lolote huyo. Chezea dola weye !!
Ameachanisha mahusiano ya nani kwani mangeMange kaumiza maisha ya watu wengi sana, kachonganisha mahusiano ya watu, ni mtu wa 'kwanini', ana wivu sana anapoona mwanamke mwenzie anatusua.
Ni kundi la watu aina ya 'psychopath' - yani mtu mwenye chuki sana na watu, hana huruma na yupo tayari kuona damu ya mwenzie ikimwagika ndio furaha ije usoni mwake.
Japo kwa upande mwingine anaraise issues ambazo zinatuhusu , hasa uovu wa watawala wetu, lkn katika suala la maisha ya watu binafsi anakosea sana.
Watu wengine hawanaga maneno, hawataki visasi, utawaharibia lkn karma haitakuacha ukatize salama.
Kunywa soda nakuja kukulipianyaraka za serikali zinavujaaa tu,tena zina mihuri ya siri
hii inaonyesha ata watumishi wa umma wameshaichoka hii serikali