Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

Mpuuzi kabisa wewe usieweza kutenganisha mambo na usiejua chochote halafu unajidai unajua!! Nenda kawaambia marekani unamtaka Dalai Lama kwa kubadilishana na gaidi!! Nyumbu wewe
Mange hajafika hata nukta ya levo ya Dalai Lama.
 
Nina swali. Naombeni mnisaidie kujibu.
Tanzania hairuhusu uraia pacha kwaivyo mange yupo marekani kwa miaka mingi inawezekana akawa ni raia wa huko. Kwaivyo kuwa raia wa marekani mange sio raia wa tanzania. Kwann wanasema ni raia wa tanzania??
 
Kuna mtu alikuwa anaitwa ZE UTAMU.Alikuwa zaidi ya Mange.Yeye ni kuchora watu na ku edit picha za matusi na kuweka za watu.Alitesa sana watu,lakini aliingia choo cha kike pale alipomtoa JK akiwa uchi.Alidakwa huko huko Marekani na mpaka leo kimya.
Mange ajue tu kuwa watoto wake wanamuhitaji yeye kuliko hao wanaomlipa.
Serikali ina njia nyingi sana za kumpata Mange kutoka serikali ya Kimarekani.
Ni kulidaka tu gaidi la kisomali ambayo yanazagaa kati ya kenya na Tanzania,wamarekani watamtamani,ndio hapo wataambiwa na sie tuleteeni yuleee!
Ingekuwa raisi hivyo mbona mngeshamdaka...mange kawashika pabaya mpaka akili zimewaruka..uwezo wenu nyi ni kuwashika wakina lemma...mange shika hapohapo washachanganyikiwa
 
Kuna mtu alikuwa anaitwa ZE UTAMU.Alikuwa zaidi ya Mange.Yeye ni kuchora watu na ku edit picha za matusi na kuweka za watu.Alitesa sana watu,lakini aliingia choo cha kike pale alipomtoa JK akiwa uchi.Alidakwa huko huko Marekani na mpaka leo kimya.
Mange ajue tu kuwa watoto wake wanamuhitaji yeye kuliko hao wanaomlipa.
Serikali ina njia nyingi sana za kumpata Mange kutoka serikali ya Kimarekani.
Ni kulidaka tu gaidi la kisomali ambayo yanazagaa kati ya kenya na Tanzania,wamarekani watamtamani,ndio hapo wataambiwa na sie tuleteeni yuleee!
mpaka Leo mmeshindwa nini kumkamata...acha mikwara mbuzi wewe
 
mange jumanne kimambi.
mzee j4 alikua lafiki wa kalibu wa vasco dagama,kwa sasa yupo mbele za haki kwa kujipiga mwenyewe na risasi.ameacha nyumba mbezi bearch .

mange j4 kimambi ni mpare aliechanyika na mmkonde.kwasasa ameolewa usa.
kwa sasa mtoto huyu anaisumbua serkali kulikoni!!!!!!.nani anamtuma.
 
anatetea haki zipi za binadamu?unazijua haki za binadamu wewe?
mange unamlinganisha na wewe uliekaa nyuma ya keyboard una type kama ndezi? Mange ana uwezo wa kupambanua mambo sio wewe unaandika pumba huku!! Ni mara ngapi anatuma clip zinazoonyesha ukiukwaji wa haki za binadamu kwenye page yake, aliefanya walimu waliokuwa kwenye mafunzo wakasimamishwa baada ya kumpiga mwanafunzi kama mwizi ulikuwa wewe? Hizo sio kutetea haki za binadamu, unataka niendelee kutaja? Ni nani alieshikia bango la Kuwaonyesha Watoto waathirika wa HIV na madawa kwenye TV kuliko kuwa kunafanywa na RC? Rudia kwenye post zake kasoma vizuri utaona anafanya yote mawili anatetea haki za binadamu na anapambana na wanaodumaza demokrasia yetu!! Wewe nyumbu huna msaada zaidi ya kujitutumua huku JF
 
Kuna mtu alikuwa kwenye league na mwenzie eti Mange ni raia wa Marekani ngoja niwafowadie hii waendelee na ligi[emoji13]
 
Hakuna nchi inayopenda Siri zake zidukuliwe na kuchezewa hovyo brother, US yenyewe is hunting its own citizen Edward Snowden...na sasa yuko mafichoni Russia....kwenye huo ulimwengu wa intelligence lugha ni moja....huyo mama is better ashauriwe alee vitoto vyake kama anataka kuwaona wanakuwa na wanapata what they deserve....every government has secrets and have to be protected at any costs...
Huo ujinga elezea familia yako na mke wako hapo nyumbani!!
 
Wampandie hewani hukohuko. Hana lolote huyo. Chezea dola weye !!
 
hivi unauhakika na marekani kumshindwa huyu dogo? vipi kama ukiambiwa huu ni mchezo tu marekani amecheza kwa kumtuma huyu dogo Snowden huko Russia
Warussia wenyewe mmarekani anamgwaya!!! Hizi story za vijiweni mnazipata huko mziache huko huko jamani huku!! Huku ni GT
 
Wampandie hewani hukohuko. Hana lolote huyo. Chezea dola weye !!
Mange hana akili zenu mkuu, kwa sasa atakuwa tayari keshapata ukimbizi wa kisiasa sasa Ingia marekani ukamfanyie lolote kama utatoka pale marekani na ukifanikiwa basi huo mgogoro ule wa Malysia na North korea itakuwa cha mtoto!! Mtakojoa mkiwa mmechuchuma japo ni wa jinsia ya kiume
 
Mange kaumiza maisha ya watu wengi sana, kachonganisha mahusiano ya watu, ni mtu wa 'kwanini', ana wivu sana anapoona mwanamke mwenzie anatusua.

Ni kundi la watu aina ya 'psychopath' - yani mtu mwenye chuki sana na watu, hana huruma na yupo tayari kuona damu ya mwenzie ikimwagika ndio furaha ije usoni mwake.

Japo kwa upande mwingine anaraise issues ambazo zinatuhusu , hasa uovu wa watawala wetu, lkn katika suala la maisha ya watu binafsi anakosea sana.

Watu wengine hawanaga maneno, hawataki visasi, utawaharibia lkn karma haitakuacha ukatize salama.
Ameachanisha mahusiano ya nani kwani mange
 
Back
Top Bottom