Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

Polisiccm sasa wanahamia kwenye master bedroom nyumbani kwa Mbowe kuendelea na upekuzi. Huko walikomaliza wamechakua chakua na kutupa vitu hovyo hovyo kila sehemu.
 
Shetani ni wale wote wanaoleta CHOKOCHOKO......

Polisi si WAJINGA kiasi hicho....

Hivi lini CHADEMA wataacha propaganda feki za kulichafua Jeshi la polisi?
 
Mama na hao viongozi wamejisahau kama na wao ni binadamu ,jamani duniani tunapita tuu angalieni mnaacha alama gani!
Acha kutia huruma za kitoto....

Kwa hiyo Kama duniani TUNAPITA ndio UJINGA uachwe utamalaki?!!!!
 
Polisiccm sasa wanahamia kwenye master bedroom nyumbani kwa Mbowe kuendelea na upekuzi. Huko walikomaliza wamechakua chakua na kutupa vitu hovyo hovyo kila sehemu.
Propaganda feki....

Ufeki wa CHOKOCHOKO za kipropaganda......

Watanzania si wajinga kununua UZUSHI KOKO wenu.....
 
Shetani ni wale wote wanaoleta CHOKOCHOKO......

Polisi si WAJINGA kiasi hicho....

Hivi lini CHADEMA wataacha propaganda feki za kulichafua Jeshi la polisi?
polisi walishachafuka kabla hujazaliwa
 
Reactions: BAK
Taasisi inayofadhili HARAKATI ZA SIRI ZA CHADEMA sasa "inajulikana"......

Lengo ni kuitia nchi katika HAMANIKO NA VURUGU...
 
I hope hawajamkuta na mabomu ya kuvaa mwilini yale wanayovaa waarab na kujilipua.
 
Mdude aliwekewa madawa na polisi je waliyomfanyanyia mdude hawawezi kumfanyia mbowe?
 
Reactions: BAK
Ogopa mwanamke mwenye madaraka makubwa sana harafu anajihisi labda hapewi recognision anayostahili. Haya ndio matokeo yake
 
Reactions: BAK
Naona mwenyekiti anachezeshwa mdundiko hatari sana. Kuna watu walimisi hizi amsha amsha. Kwa kifupi watoto wa mjini wanasema KIMENUKA!!
 
Kwa kujifanya mcha Mungu usipime !
Wapi amejifanya mchamungu ?!!!

Kiti cha URAIS hakina uchamungu muutakao....bali maamuzi sahihi kwa wakati sahihi....maamuzi yasiyo na tashwishi za "hisia"....

Mh.SSH ni kiongozi Bora....
 
Hawaogopi ufundi wa Mungu hawa! atamchomoa mmoja anayewatuma kabla uharibifu haujazidi.
 
Ogopa mwanamke mwenye madaraka makubwa sana harafu anajihisi labda hapewi recognision anayostahili. Haya ndio matokeo yake
Zote hizo zinabaki kuwa hisia tu....

Alipoapa aliyatwaa MADARAKA YA URAIS....haihitaji kujihisi.....

Mama anasimamia KATIBA kulinda amani ,usalama na UTULIVU wa nchi.....

Hilo ndilo kubwa....PUNDA AFE MZIGO UFIKE.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…