Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

Kwako ni ujinga lakini unatakiwa utafakari sana , ndio utajua namaanisha nini . Ukija kichwa kichwa huwezi pata kitu hapa
Ameshatafakari....

Ila....

Hujamjibu.....

Je MUNGU yupi huyo anayempigania MBOWE?!!

Mungu yupi huyo?!!!

Mnamuingiza MUNGU katika siasa zenu KOKO NA ZA KISAKALA?!!!
 
Kina machafuko gani aliyoyaleta mbowe? Mbowe amefanya press conference ngapi? Umeshasikia press ya machafuko au ni hadithi za ngoswe mnazo waza nyie?

Sijasikia mchafuko yoyote after all chadema niwastaarabu sana na Wasomi pia.
 
Ameshatafakari....

Ila....

Hujamjibu.....

Je MUNGU yupi huyo anayempigania MBOWE?!!

Mungu yupi huyo?!!!

Mnamuingiza MUNGU katika siasa zenu KOKO NA ZA KISAKALA?!!!
Huwezi elewa mambo haya pasipo maarifa kichwani mwako, Mungu wa chadema na mbowe ni mkubwa sana . Hakuna asie jua , kama unataka mfahamu wait you shall see!
 
Kina machafuko gani aliyoyaleta mbowe? Mbowe amefanya press conference ngapi? Umeshasikia press ya machafuko au ni hadithi za ngoswe mnazo waza nyie?

Sijasikia mchafuko yoyote after all chadema niwastaarabu sana na Wasomi pia.
CHADEMA si wastaarabu....

Kupitia PLATFORM zao waliridhia TUNDU LISSU amtukane na kumkashifu sana hayati JPM...hatujasahau MANDWANYE ninyi.....

Kupitia PLATFORM zao ,waliridhia hobobo sakala Mdude Nyagali amshambulie mh.Rais SSH kwa kusema "atautumia WEMBE aliomnyolea hayati JPM....hatujasahau....alikwenda mbali kwa kutuambia kuwa sisi UVCCM tumuambie "mama yetu" kuwa HAMUOGOPI....hatujasahau MANDWANYE ninyi......

#KaziIendelee
 
Hii pumba hata nguruwe hawaitaki!
 
Ooh tupo na mama, mara piga kazi mama hahhhahahahahaah
 
Hata Jpm aliapa kuufikisha huo mzigo wenu pendwa lakini Akafika yeye kabla ya huo mzigo.

Mungu hakai wala hapendezwi na wanafiki .
 
Hata Jpm aliapa kuufikisha huo mzigo wenu pendwa lakini Akafika yeye kabla ya huo mzigo.

Mungu hakai wala hapendezwi na wanafiki .
Unaongea kama mtoto vile....

Kumbe huujui MZIGO eee?!!

Nakupeleka NURSERY....haya angalia mbele....angalia huku MBELE UBAONI....

MZIGO ni NCHI YA TANZANIA IKIWA NA USALAMA ,UTULIVU NA AMANI....

Hayati JPM hakutuachia Tanzania yenye kufanana na VURUGU ZA AFRIKA YA KUSINI wala ETHIOPIA....

Masikio "MASITO" ,macho YAKO nayo yana UKUNGU ?!!!

MUNGU hayupo mfukoni kwako ama kule UANI KWENU UFIPA kwenye kile kijisehemu kidogo chenye JOTO NA HEWA NZITO....

#KifoSiAdhabu
#HatuogopiKifoKuilindaTanzania
#AmaniKwanza
#UchumiKwanza
#KaziIendelee
 
Nyie MATAGA mna matatizo sana vichwani mwenu, huyo mnae mwita mama yenu sisi ndio mabosi zake ( wananchi wa jamri ya muungano wa Tanzania) huo umama ni nyumbani kwake.

Raisi lazima akosolewe kama anakosea , arekebishwe kama haendi sawah, raisi sio Mungu wa mbinguni kuwa hawezi kukosolewa.

Ndio maana ameamua kuwachagua wapinzani katika nyazifa za serikali Nyie Mataga mmeachwa kwassbabu hamna Akili simple yani. Hamjawahi kujiuliza hili?

Uvccm na Mataga wote ni bumbunda tu hata raisi wenu anajua hilo? Badilikeni?
 
Huna kumbukumbu kwa alichosema Sakala MDUDE....

Narudia tena....alisema "huyo mama yenu"...hujui ,hukumbuki ama pang'ang'a tu ?!!!
 
Tanzania kuna watu au mizoga?kama mtu anapandishiwa mafuta, sukari, tozo za simu, lakini yupo yupo tu anakwambia "hayo yana mwisho" tunamuachia Mungu" wala hata kupaza sauti hakuna, watanzania makini ni kama 20%tu watafanya nini?!!bunge lipi la kuleta maendeleo?
 
Kwani huyo Jpm wenu alikuta nchi ipo kama somali au Ethiopia? Amekuta na ameiharibu simple and clear.

Sanasana ameiharibu nchi kuwa na raisi kama Jpm ni mzigo kwa Taifa. Tasisi ya uraisi haitaki vichwa panzi ni taasisi yenye uhitaji wa watu wenye weledi wa hali ya juu.
 
Kama umejitolea hivyo, wewe c mjinga. Ni mpumbavu
Mpumbafu ni ww na wenzio mnaocheza ngoma msiyoijua!? Ni maboya flani hivi ambao hufuata nyuma kama koti kwa lolote pungu mwenzenu Mbowe akiibuka nalo!
 
Yaani huna mfano unaoelekea hadi ukatafuta huo mbovvu wa Kenya?

Kenya ndio mfano mzuri kwako, unaishi dunia gani wewe, au7 unatokea huko mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…