Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

Naunga mkono hoja ya kwenye coment ya huyo mwamba kwenye hiyo twitter hapo chini kabisa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuliambiana humu.

Katiba sawa ila approach waliyoanza nayo haipendezi.

Now kwa kinachoendelea hata watu ambao tupo neutral tunaona ni kuonyeshana na kunyoana kama mdude alivyosema.
 
Halafu uhalali wa hii serikali uko wapi?

Tujiulize waliingia madarakani kwa kupitia uchaguzi gani?

Tukipata majibu, basi tutakuwa pia tumepata majibu ya haya matendo.
Walingia madarakani kupitia uchaguzi ule uliomfanya Lisu atoke ubelgiji mbio mbio
 
Halafu uhalali wa hii serikali uko wapi?

Tujiulize waliingia madarakani kwa kupitia uchaguzi gani?

Tukipata majibu, basi tutakuwa pia tumepata majibu ya haya matendo.
Uhalali ni kuwa ilishinda uchaguzi

USSR
 
Nendeni mkalinde nyumbani kwa Mbowe mfanye maadamano kama kweli mna uchungu.
 
Inasemekana yupo kidato cha tatu alishaachika mara mbili, sasa unategemea nini kutoka kwake?
Ndio hoja mnazokuja nazo sasa hivi baada ya ile ya anaupiga mwingi
 
Hii ndio Taarifa ya sasa tuliyopenyezewa na watu wazalendo kutoka ndani ya jeshi Polisi Tanzania .

Lakini tunaendelea kusisitiza kwamba Hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu

instagram.jpg

992C0AC8-EA96-4ABB-A956-1D42E8CFB128.jpeg
 
Hii ndio Taarifa ya sasa tuliyopenyezewa na watu wazalendo kutoka ndani ya jeshi Polisi Tanzania .

Lakini tunaendelea kusisitiza kwamba Hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu

View attachment 1862707
Mnajihami ee ili akikutwa navyo mdai kabambikizwa. Mbowe ni mafia na anataka rudisha mateja mitaani, adhibitiwe hamna cha kuonewa, mnajaribu kujihami ila mnajua afanyacho kamanda wenu.
 
Back
Top Bottom