barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Amina.Basi hata Shetani tutamkuta Mbinguni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina.Basi hata Shetani tutamkuta Mbinguni.
Walingia madarakani kupitia uchaguzi ule uliomfanya Lisu atoke ubelgiji mbio mbioHalafu uhalali wa hii serikali uko wapi?
Tujiulize waliingia madarakani kwa kupitia uchaguzi gani?
Tukipata majibu, basi tutakuwa pia tumepata majibu ya haya matendo.
Wacha wapekue waje waseme wamekuta nini wewe sio askari hujui kutafuta ushahidi ,Hawa walipanga kufanya vurugu na mabomu Kama olasiti wacha wakaguliwe tu .nchi hii tunataka amani
Mbowe ni jeuri na mwingi wa chokochokoMbona Mapolisi hawafuati Sheria.
Uhalali ni kuwa ilishinda uchaguziHalafu uhalali wa hii serikali uko wapi?
Tujiulize waliingia madarakani kwa kupitia uchaguzi gani?
Tukipata majibu, basi tutakuwa pia tumepata majibu ya haya matendo.
Mbona wamekichafua toka asubuhi humu mitandaoni?Sasa ndio kumekucha rasmi, muda wowote wananchi uvumilivu utawashinda na watakichafua. Watu wamechoka kuonewa na kunyanyaswa tokea 2015.
Ndio hoja mnazokuja nazo sasa hivi baada ya ile ya anaupiga mwingiInasemekana yupo kidato cha tatu alishaachika mara mbili, sasa unategemea nini kutoka kwake?
Jaribu uone utakavyogeuzwa mbwa coco wa jelaSasa ndio kumekucha rasmi, muda wowote wananchi uvumilivu utawashinda na watakichafua. Watu wamechoka kuonewa na kunyanyaswa tokea 2015.
Mnajihami ee ili akikutwa navyo mdai kabambikizwa. Mbowe ni mafia na anataka rudisha mateja mitaani, adhibitiwe hamna cha kuonewa, mnajaribu kujihami ila mnajua afanyacho kamanda wenu.Hii ndio Taarifa ya sasa tuliyopenyezewa na watu wazalendo kutoka ndani ya jeshi Polisi Tanzania .
Lakini tunaendelea kusisitiza kwamba Hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu
View attachment 1862707
Nani kasemaPolisi ni kazi ya laana.
Makamanda wameanza kujihami..[emoji1787][emoji1787]Mnajihami ee ili akikutwa navyo mdai kabambikizwa. Mbowe ni mafia na anataka rudisha mateja mitaani, adhibitiwe hamna cha kuonewa, mnajaribu kujihami ila mnajua afanyacho kamanda wenu.
Mimi nimesemaNani kasema