Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

Mimi si MSUKUMA....

Yaani unaendelea tu Kudhihirisha UJINGA uliotopea.....

Mimi ni MTANZANIA zaidi ya KABILA langu....hobobo wewe[emoji1787]

Task Force iliundwa kwa ajili ya KUKUSANYA KODI iliyokuwa INAKWEPWA SANA....

Hivi watu hawalipi Kodi kwa kuendekeza janjajanja ,unatakaje ?!!!

Hwenda zilitumika NGUVU KUBWA zaidi ya LENGO....

Hata TOZO YA MIAMALA ya simu ilikuwa na lengo ZURI ,ila likakutana na UHALISIA wa UKUBWA wake na wananchi wakaguswa "mbavu changa".....

Kwani CHATO si Tanzania?!!

Kwani baada ya KUUJENGA uwanja wa ndege CHATO ,Serikali haitojenga UWANJA WA NDEGE MWINGINE hadi Masiha anarudi ?!!!

Nawaona mbu wengi ,jifunike shuka miguuni hapo chini ya meza ya MNYIKA ,ndwanye mmoja wewe [emoji1787][emoji1787]
Toa hoja kijana , wacha kuongea vilugha ambavyo kimsingi havina maana. Tulia dawa ikuingie vizuri .

Uwanja wa chato unafaida gani mpaka sasa zaidi ya kuchezea pesa ya wanamchi ?

Bora hiyo pesa wangewakopesha wanafunz wa elimu ya juu wanaokosa fedha kwaajili ya masomo.

Hizo ndege unatetea wewe Umesoma ripoti ya CAG ? Kasome halafu uje uandike ujinga wako hapa tena.

Hizo task force wewe huzijui kwasababu huna biashara wala chochoche zaidi ya simu yako na bando.

Hata hawa Jamii forum wanajua walichofanywa na Mwendazake , leo hii usingekuwa unaandika hapa kama si akili kubwa ya Founder wa hili jukwaaa kutumia.
 
Hunijui halafu unasema sina chochote zaidi ya SIMU NA BANDO... anyway unadhihirisha "usakala wako"....🤣

Well .....

Chato kuna HIFADHI YA BURIGI....unalazimisha haitopata watalii?!! Unataka tu tujifunge katika mazoea?!!

Geita ni mkoa....haustahili kuwa na kiwanja cha ndege?!!! Kwa kuwa ?!!

Ripoti ya CAG imeainisha HASARA kutokana na janga la CORONA na "uchanga" wa uendeshaji wa ATCL....hivi kiuendeshaji hawawezi kuwa "wakomavu"?!!!

Amka wewe msukule wa Mbowe...
 
Mimi hua nachoka Sana nikijiuliza kwamba Kuna tatizo gani ukampa mtu Uhuru wa kujadili, kushauri au kukosoa ili kushirikiana katika ujenzi wa taifa, me naona Cha muhimu Ni usalama TU wa raia na mali zao. Vikao na mikutano ifanyike kwa amani, kwanini upande mmoja unanyimwa Uhuru?
 
Hunijui halafu unasema sina chochote zaidi ya SIMU NA BANDO... anyway unaridhihiridha "usakala wako"....[emoji1787]

Well .....

Chato kuna HIFADHI YA BURIGI....unalazimisha haitopata watalii?!! Unataka tu tujifunge katika mazoea?!!

Geita ni mkoa....haustahili kuwa na kiwanja cha ndege?!!! Kwa kuwa ?!!

Ripoti ya CAG imeainisha HASARA kutokana na janga la CORONA na "uchanga" wa uendeshaji wa ATCL....hivi kiuendeshaji hawawezi kuwa "wakomavu"?!!!

Amka wewe msukule wa Mbowe...
Ukomavi wa ATCl, hivi hili shirika lina miaka mingapi toka limeanza kazi?

Kama hasara ni kwaajili ya Corona mbona data zinaonyesha toka lilipoanza kazi hamnafaida ni hasara tu? Je ni korona?
 
Mimi hua nachoka Sana nikijiuliza kwamba Kuna tatizo gani ukampa mtu Uhuru wa kujadili, kushauri au kukosoa ili kushirikiana katika ujenzi wa taifa, me naona Cha muhimu Ni usalama TU wa raia na mali zao. Vikao na mikutano ifanyike kwa amani, kwanini upande mmoja unanyimwa Uhuru?
..kwa sababu "wanatumiwa" na nguvu kinzani toka nje.....
 
All in all mkuu Ila hoja Ni msingi wa yote wapinzani wanabanwa Sana wapewe uhuru wa kudiscuss Mambo yanayoendelea ili wakipe challenges chama tawala ili kisijilemaze...kikae chonjo kutatua changamoto za wananchi
 
Chama cha majambazi , hakijawahi kuruhusu mijadala huru hata siku moja.

Kongamano nini? Wange waacha wakafanya wangepata hasara gani?
 
Ukomavi wa ATCl, hivi hili shirika lina miaka mingapi toka limeanza kazi?

Kama hasara ni kwaajili ya Corona mbona data zinaonyesha toka lilipoanza kazi hamnafaida ni hasara tu? Je ni korona?
Hivi Kuna BIASHARA mpya inayoleta FAIDA haraka mno?!!

Hivi umesahau kuwa zile NDEGE ilifikia hatua zikawa zinahujumiwa kwa kuwaeleza wateja/abiria kuwa ZIMEJAA na wapande MASHIRIKA MENGINE?!! Ulikuwa hujazaliwa?!!🤣

Unashangaa shirika lililokuwepo miaka yote ila hushangai DODOMA kushindwa "kuhamiwa" kuwa makao makuu YA SERIKALI TOKA AWAMU YA KWANZA?!!

Shangaa NA MAKUTANO YA UBUNGO NA TAZARA kuwapotezea WANADARISALAMA masaa zaidi ya 4 kila siku toka AWAMU YA 3 YA SERIKALI....
 
Hivi Kuna BIASHARA mpya inayoleta FAIDA haraka mno?!!

Hivi umesahau kuwa zile NDEGE ilifikia hatua zikawa zinahujumiwa kwa kuwaeleza wateja/abiria kuwa ZIMEJAA na wapande MASHIRIKA MENGINE?!! Ulikuwa hujazaliwa?!![emoji1787]

Unashangaa shirika lililokuwepo miaka yote ila hushangai DODOMA kushindwa "kuhamiwa" kuwa makao makuu YA SERIKALI TOKA AWAMU YA KWANZA?!!

Shangaa NA MAKUTANO YA UBUNGO NA TAZARA kuwapotezea WANADARISALAMA masaa zaidi ya 4 kila siku toka AWAMU YA 3 YA SERIKALI....
Kwanza Elewa hivi Jpm wenu, HAkuna narudia Hakuna Mradi aliouanzisha yeye. JpM hakuna mradi aliouanzisha yeye hapa Tanzania.

Miradi yote kwanzia SRG, Kuhamia DDM, Mwendo Kasi, Nk vilianza kipindi cha Mkapa.

Jpm wenu amekuja kuibia watu pesa, na kukopa kupita kiwango kujenga hivyo vitu, ndio maana deni la taifa limepanda mara mia zaidi.

Kuhusu ndege ATCL SIO SHIRIKA CHANGA , HAPO siwezi kukuelewa kabisa. Hili ni shirika toka awamu ya kwanza Kipindi cha Mwl Nyerere .
 
Ndugu una chuki kali dhidi ya JPM....

Sikusema mradi wa mabasi ya mwendokasi.....

Usiwe muongo Kama TUMBA MBICHI....kwa kinywa kipana kabisa unasema kuwa ni hayati MKAPA ndiye aliyejenga SGR ,kuhamisha Serikali DDMA ,ujenzi wa BWAWA la kufua umeme Mwalimu Nyerere Duuuh 😲🤣 hahahaha

Shangaa wewe ATCL shirika toka Nyerere....alianza na ndege....baadaye ikabaki moja....mwamba hayati JPM akainunulia na KUIKOPESHA NDEGE 8....Sasa ulitaka inunue yenyewe na Wakati ilikuwa DHOOFU kiuchumi?!!

Kwani wakati shirika la ATCL linaanzishwa ,lilinunua lenyewe ndege?!!!

Pang'ang'a tu 🤣🤣
 
Ndugu una chuki kali dhidi ya JPM....

Sikusema mradi wa mabasi ya mwendokasi.....

Usiwe muongo Kama TUMBA MBICHI....kwa kinywa kipana kabisa unasema kuwa ni hayati MKAPA ndiye aliyejenga SGR ,kuhamisha Serikali DDMA ,ujenzi wa BWAWA la kufua umeme Mwalimu Nyerere Duuuh [emoji44][emoji1787] hahahaha

Shangaa wewe ATCL shirika toka Nyerere....alianza na ndege....baadaye ikabaki moja....mwamba hayati JPM akainunulia na KUIKOPESHA NDEGE 8....Sasa ulitaka inunue yenyewe na Wakati ilikuwa DHOOFU kiuchumi?!!

Kwani wakati shirika la ATCL linaanzishwa ,lilinunua lenyewe ndege?!!!

Pang'ang'a tu [emoji1787][emoji1787]
Shirika linatakiwa kujiendesha lenyewe? Hoja hapa nikuwa wewe unasema ATCL ni shirika changa. TOTAL nonsense .

Kanunua ndege faida yake iko wapi? LEO MBOWE wamemkamata mwanza now yupo DSM amekuja na police kutoka mwanza not less than 30, wametumia ndege hizo hizo nani analipa hiyo pesa?

Nasema wazo la kuhamia dodoma lilikuwepo toka awamu ya kwanza .

Wazo la SRG lilikuwepo toka awamu ya tatu.

Labda yeye kaja kanunua ndege zake ambazo kimsingi bado hazina faida kwasababu alikurupuka .
 
Ulisema "miradi ilianza...."pitia KOMENTI yako huko juu....

Sasa unasema "wazo lilianza"....which is which ndugu ?!!!

Tunaweza KUKUBALIANA kuwa UJENZI wa SGR na BWAWA LA NYERERE umeanzishwa na Hayati JPM ?!!!

Kama sivyo basi niambie wajenzi ARAB CONTRACTORS na wale WATURUKI walitiliana wapi saini ya uzinduzi wa ujenzi na hayati Mkapa?!!!

Mkuu kule MTUMBA ,kunaitwa MAGUFULI CITY....🤣🤣

Muktadha wangu wa uchanga wa ATCL uko katika kujiendesha KIBIASHARA.. Sasa Kama wangekuwa ni wakomavu kibiashara toka baba wa taifa mpaka awamu ya 4 wangekuwa na ndege 1 MKWECHE ?!!!

Haki ya hayati JPM hutaki kuizungumza ,basi hata ikizungumzwa na hasimu wako unanishona mdomo ?!!!

Mbowe amerudishwa DAR kwa ndege ya Serikali Kama walivyorudishwa UAMSHO mjini Zanzibar ule usiku....(wahusika wenyewe wanajua wafanyacho)

Jifunike miguuni Kuna mbu wengi hapo UANI "nyumba ya wageni vyumba vipo UFI IIPANI"🤣
 
Vijana mnatumia lugha za matusi sana humu
UVCCM hao. Yaani hii UVCCM kwa matamshi ya viongozi wao (kumpa mtu wa upinzani sumu), matendo yao (Katibu Mwenezi kuolewa na mwanaume mwenzake) na matendo ya wafuasi wao (wasanii wa muziki na bongo filamu kufanya zinaa na uasherati kama dozi), inaashiria kabisa kuwa ni taasisi hatarishi kwa mustakabali mwema wa taifa la kesho.
Ni taasisi ya kishetani kabisa.
 
Back
Top Bottom