Wamejuaje ni mfanyabiashara mkwepa kodi na sio jambazi limemchinja mwenye mali ?Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, lengo ni kukwepa kodi na tozo za serikali.
Aidha, linatoa rai kwa wafanyabiashara kutambua kuwa
Unaweza kama una leseni ya kusafirisha tu. Asiye na leseni hawezi.
Hiyo leseni ni ya kusafirisha huhu humu nchini au kwenda nchi za nje?
Siku hizi ni 7.3Unaacha madini yote hayo,kisa mrahaba wa 4% duu,sasa serikali inayauza na hela inaingia huko
Umeona eenhh??!!!. Police wetu wahuni sana.Hapo mwamba kakimbiza roho yake kwanza sio kwamba kakimbia huo mzigo.
Ile check Point ya Mbande iliyopo mbele ya Kongwa ranchi pale njia panda ya kwenda Mpwapwa ni shida nyingine, pale unatafutiwa makosa kwa lazima kila mara, IGP na wahusika wengine fanyieni uchunvuzi ile check point kwa ule mwenendo wa pale kitakuja kuleta shida kubwa sanaAnatorosha kwenda wapi?Mtu bado yupo Mbeya ndani ya Tanzania useme anatorosha?.Kama alikuwa anaenda kutafuta soko zuri mkoa mwingine?
Polisi siwamini kabisa,ni majambazi yanayolipwa kwa kodi zetu.
Huwajui polisi wewe, kakimbiza roho yake huyoMaskini kakimbia utajiri
Sheria kama ya mtwara?Usikute alipewa achaguwe kutimka yaishe au sheria ichukuwe mkondo wake
Mkuu siku hizi hawa kenge hawapigi risasi miguuni, wanapiga kichwani asee...Mh! Hivi alishindwa kutoa rushwa akaacha zigo la namna hiyo..?
Huyu ndo mtu alieukimbia utajiri alasivyo ipo namna imetendeka kwa maisha haya uache 140 million!!!! Ha ha ha!.
Kuna nini hapo ungeelezea kidogo?Ile check Point ya Mbande iliyopo mbele ya Kongwa ranchi pale njia panda ya kwenda Mpwapwa ni shida nyingine, pale unatafutiwa makosa kwa lazima kila mara, IGP na wahusika wengine fanyieni uchunvuzi ile check point kwa ule mwenendo wa pale kitakuja kuleta shida kubwa sana
Kwa polisi hawa wa Tanzania, hiyo habari ina ukweli wa 1%! Mtu kakimbia, walishindwa kumdhibiti? Kiwango kinacho tajwa kikubwa hufichwa. Akiwa hai ndugu washukuru.Hawa Polisi siku hizi wasivyoaminika hasa likija swala la madini hata kama ni mimi ningekimbia.
Na hapo swali la msingi ni je, kweli idadi iliyotajwa ndiyo iliyokamatwa?
Bora upambane na simba 12 mwituni utaokoka kuliko kukutana na polisi wawili wa Tanzania.Jamaa aliwaza akisimama wanaeza kumuondoa nn? au alipanic sana? bado story haijaniingia ila nahis aliogopa sana woga mbaya bado angeweza kumaliza huo msala kwa 10m
Kaokoa roho.Maskini kakimbia utajiri