MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Nione nimekuteua mimi halafu unasema upo neutral😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna marefu yasio na mwisho. Muda Ni mwalimu Mzuri.
yeye ni wa mhimili wa bunge?
Hadi uzee wako utasema hivyo,Ccm hakina mbadala
Katibu Mkuu wa ccmni kiongozi mwandamizi wa Nchi
Yeye anaismamia serkali
Usimfananishe na waropokaji
Myika anapendwa na watu, ulinzi ni kwa wale wenye kuchukiwa na Watanzania.
Polisi wakihakikisha Usalama wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii.
Je, inawezekana kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani mathalani CHADEMA, John Mnyika kusindikizwa hivi?View attachment 1367313
mbona Mbowe analindwa na kikosi cha ugaidi red brigade?
huna akili
Awamu hii imepunguza sana akili za wanachama wa CCM, sasa hapa unaona kuna uhusiano na hali halisi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amesema amesikitishwa na matumizi mabaya ya mitandao kufuatia kusambazwa kwa picha ikimuonesha katika moja ya ziara zake akilindwa na askari na kuvitaka vyombo vya dola kushughulikia suala hilo na kuwasihi wananchi kuacha kutumia vibaya mitandao ya kijamii hususan katika kipindi hiki cha kuelekea kufanyika kwa Uchaguzi.Polisi wakihakikisha Usalama wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii.
View attachment 1367313
Je, inawezekana kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani mathalani CHADEMA, John Mnyika kusindikizwa hivi?
Hebu waangalie hao vijana wanaomsindikiza vizuri, hiyo vaa yao inaashiria nini? Yawezekana akatokea kichaa akampiga shaba, watasema walikuwa wapi?Atapata tatizo gani kwa mfano? Ukitoa mfano mmoja tu wa tatizo linaloweza kumpata ambalo suluhu yake ni hawa wanaohemea juu juu ingependeza.