Polisi wakihakikisha Usalama wa katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara

Polisi wakihakikisha Usalama wa katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara

Nione nimekuteua mimi halafu unasema upo neutral😂😂😂😂
 
Katibu Mkuu wa ccmni kiongozi mwandamizi wa Nchi

Yeye anaismamia serkali

Usimfananishe na waropokaji

Vijana muone aibu kidogo basi namna hii mnaharibu nchi aiseeeeh! Hebu msimame kwenye sheria na haki, iliyo blue mseme blue na nyeusi iwe nyeusi! Njaa hizi hazitatupeleka popote tutajikuta tuna taifa la ajbu sana mbeleni!

Kina Nyerere wangekuwa hivi wangesaidia kupatikana kwa uhuru kweli?
 
Amesemaje huyo dokta wa jalalani kuhusu korosho zetu zilizoporwa na jeshi
 
Angekuwa anapendwa huo ulinzi wa kitu gani?
Polisi wakihakikisha Usalama wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii.

Je, inawezekana kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani mathalani CHADEMA, John Mnyika kusindikizwa hivi?View attachment 1367313

In God we Trust
 
Hii ni hatari sana. Kwa picha hiyo ninaona mambo makuu matatu yapo Nchini.

1. Nchi si salama kabisa.
2. watu wamegeuka kuwa miungu watu.
3. matumizi mabaya ya rasilimali watu _ Jeshi la polisi linatumika vibaya.
 
Polisi wakihakikisha Usalama wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa Bashiru Ally akiwa ziarani Mkoani Mtwara mapema leo hii.

View attachment 1367313

Je, inawezekana kwa Katibu Mkuu wa chama cha upinzani mathalani CHADEMA, John Mnyika kusindikizwa hivi?
Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amesema amesikitishwa na matumizi mabaya ya mitandao kufuatia kusambazwa kwa picha ikimuonesha katika moja ya ziara zake akilindwa na askari na kuvitaka vyombo vya dola kushughulikia suala hilo na kuwasihi wananchi kuacha kutumia vibaya mitandao ya kijamii hususan katika kipindi hiki cha kuelekea kufanyika kwa Uchaguzi.

Source: Azam Tv news
 
Atapata tatizo gani kwa mfano? Ukitoa mfano mmoja tu wa tatizo linaloweza kumpata ambalo suluhu yake ni hawa wanaohemea juu juu ingependeza.
Hebu waangalie hao vijana wanaomsindikiza vizuri, hiyo vaa yao inaashiria nini? Yawezekana akatokea kichaa akampiga shaba, watasema walikuwa wapi?
 
Mudawote,
Kweli umeamua kuutoa ubongo wako kichwani na kuamua kujiwekea kinyesi, kama una watoto hebu jalibu kuwaonyesha ulichokiandika,kisha wasikilize,
 

Attachments

  • 2291933_images.jpeg
    2291933_images.jpeg
    19.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom