Polisi "wame-underestimate impact" ya kumtuhumu Mbowe kwa makosa ya ugaidi?

Mbowe hamtamuweza kumuweka mahabusu hamjaanza leo sana sana mnampaisha homa kali ya katiba mpya ndio inawafanya mshikwe na matumbo ya kuharisha katiba mpya mpya ndio suluhisho la haya yote.
Hatawezekana kuwekwa mahabusu kwani tunavyo ongea Sasa hv yupo wap? Na asiwezekane yeye ninani,
 
Sawa......

Tony Blair amekuja kumtembelea mh.Rais SSH .....

Jana alikuwa Zanzibar ...hakuiakhirisha ziara kwa kuwa Mh. Mbowe AMETIWA NGUVUNI anyway unadai RWANDA hakuna makampuni ya maana kwa kuwa hawana PETROLI NA MADINI GHALI YA VITO si ndio?!!

Nakukumbusha kuwa MAKAMPUNI YA TEKNOLOJIA kutoka MISRI ,CHINA ,UTURUKI ,UJERUMANI yako RWANDA...yamewekeza RWANDA.....

Kukosekana kwa wawekezaji wapya kipindi cha JPM hakutokani tu na yeye kuonekana anawakandamiza WENGINE ,bali SERA ZAKE ZILIKUWA KUWAINUA WAWEKEZAJI "waaminifu" wa humu ndani......

Kwani WAKANDARASI WA SGR hawajatoka UTURUKI?!!

Kwani WAKANDARASI wa BWAWA LA MWALIMU NYERERE, ARAB CONTRACTORS hawatoki MISRI ?!!

#KaziIendelee
 
Hivi toka Tundu Lissu atume huo ujumbe /jumbe kupitia MAKONGAMANO ,WARSHA ,MIKUTANO huko London Brussels ,Berlin ,Chicago , Washington huku nyuma yake akiwa Robert Amsterdam Kuna KILICHOBADILIKA kwa Tanzania?!!

Nilitegemea TONY BLAIR asije....leo amefanya mazungumzo na mh.Rais SSH ikulu Dar na pia amekwenda Ikulu ya Zanzibar......

Na ni hivi karibuni watakuja viongozi wakubwa wengi tu.....

#KaziInaendelea
 
Kwani vyombo hivyo vya kimataifa vilimuongelea vema Mwendazake? Na kwa kumuongelea vibaya ilisaidia nini?

Msijipe matumaini hewa kuhusu wawekezaji kupungua. Labda mngeingia mtaani ndipo wangeweza kuhofia usalama wa mali zao.

Mnakwepa ukweli kwamba viongozi wenu hawakuwa na plan B. Kujimwambafai kisha kutegemea kelele za mabeberu isn’t smart. Unajua kwanini Blair was in Dar?

 
Mdude anaweza kuwa sio mtekelezaji ila anaujua wembe na process sawasawa
Hakika dadangu....

Yaani dada Sky Eclat anataka tupuuze maneno yale makali toka kijana mwenzetu Mdude....huku mh.Mwenyekiti wake akishindwa KUMKATISHA....

Waswahili wananena "ukimuona mbwa juu ya bati ,ujue amepandishwa"

#KaziIendelee
 
Sasa kama jitu ni gaidi unataka atuhumiwe kwa lipi? A spade is a spade....
 
Sehemu salama ya Gaidi ni jela, Mbowe yupo sehemu anayostahili, anapiga story na kunguni tu, hakuna mwekezaji serious anayeona Mbowe ni mtu muhimu, hizi story zenu za vijiweni zibaki huko huko kwa nyumbxxx wenzio.
Mwenyekiti wa saccos Mr. Faru John ni zaidi ya Gaidi.
 
Tunavyosemaga kuwa CCM hayana akili na ni hayafai kuongoza nchi hii huwa tunamaanisha.
Hao wasio na akili ndio wanakuongoza toka 1961 mpaka leo bado wanakunyoosha na kizazi chako chote, sasa jiulize nani hana akili wewe 'mwenye akili' kuongozwa muda wote huo na asiye na akili au asiye na akii...
 
Ni wazi CCM wamejipiga nyundo kichwani na sasa wanaimba kuchina!

Ama hawakujua madhara,ama wajinga ni wengi,ama mama kahujumiwa kusudi haijalishi kwa sasa it's too late.

La uhakika ni kwamba Mungu yuko kazini na amewapa upofu ili awaangushe
 
Kupigwa mabomu ubalozi Marekani je ?
 
Swadakta πŸ‘

Wameikosa PLAN B....

Jana nimemsikiliza mh.Lissu akisisitizia kuiongoza KAMATI itakayozunguka "duniani" kuwaambia kuwa TANZANIA SI SEHEMU SALAMA...KUWA RAIS MH.SSH ni dikteta zaidi ya JPM ,kuwa WAFANYABIASHARA NA MAKAMPUNI makubwa watukimbie...

Kama kijana wa "uswazi tu" nikajiuliza sana kuhusu MWENENDO MZIMAWA MSOMI NA MWANAHARAKATI WETU mh. Tundu Lissu....akili ya kijinga ikanielekeza "mh.Tundu Lissu ameona bingo hiyo....kwa hoja hizo atazunguka sana ulaya na Marekani 🀣🀣" Sasa sijajua kamati hiyo itakuwa na watu wangapi ?akina Mdude Nyagali na wengine pia Watakuwa ziarani humo ?!!
Ama watashiriki tu kupitia "VIDEO CONFERENCES" ha ha ha

#KaziInaendelea
 
Kulwa na Dotto ni vigumu sana kuwatenganisha. Kulwa amelala Usingizi wa Milele, Dotto yupo pale kwa kuwa amevaa viatu vya Kulwa na anaongoza jahazi kuelekea Nchi ya maziwa na asali πŸ˜€πŸ˜€

Tabia za watu hawa zinafanana, sasa tusubili maiti za kwenye viloba ili maandiko yatimie kwa maana wengi walijiuliza ni Yeye au tusubili mwingine.

Mama Mulamula atakuwa na kazi kubwa ya kufanya kuiaminisha Dunia kuwa Tanzania hakuna Ugaidi wakati ambao Investors wataacha kuja kuwekeza na wenye mitaji wakianza kuiondoa na kuipeleka Nchi salama zisizo na Ugaidi na Magaidi.

Uzuri wake hata Nchi isipokusanya mapato na Kufirisika, Viongozi wa Juu wote wana Uhakika wa Kula na Kunywa hadi watakapoiaga Dunia. Tutakaopata tabu ni Sisi wapiga kura pamoja na hao Mapolisi waliotumwa kuiambia Dunia Mbowe ni Gaidi na Tanzania kuna Ugaidi.
 
Umeuongea ukweli mtupu, hivi sasa Doto amemrithi Kulwa, na ametamka hadharani kuwa yeye na mwendazake ni kitu kimoja!

Wenye akili tulimuelewa
 
sidhani kama kosa ni kuandaa kongamano la kudai katiba.kwa sababu hata ndani ya CCM yawezekana kuna wanaotaka katiba mpya akiwemo Jaji Warioba.

hayo wawekezaji waje au wasije lakini haiwezi kubadiri msimamo wa nchi kwa swala la usalama wa nchi
 
sidhani kama kosa ni kuandaa kongamano la kudai katiba.kwa sababu hata ndani ya CCM yawezekana kuna wanaotaka katiba mpya akiwemo Jaji Warioba.

hayo wawekezaji waje au wasije lakini haiwezi kubadiri msimamo wa nchi kwa swala la usalama wa nchi
Usalama upi wa nchi unaousema wewe??
 
Umeuongea ukweli mtupu, hivi sasa Doto amemrithi Kulwa, na ametamka hadharani kuwa yeye na mwendazake ni kitu kimoja!

Wenye akili tulimuelewa
Hataki kujifunza na kubadirika. Mwendazake alivuruga Uchumi na maisha ya kila mtu kwa kuendekeza visasi na siasa za hovyo zilizoitumbukiza Nchi shimoni.

Athari za kutamka ugaidi na magaidi Nchini ni kubwa kuliko Political mileage wanayoitafuta.

Sijui huo Ugaidi wa Mbowe ameanza kuufanya Uzeeni au lini.

Nchi inataka kuwa ya hovyo hii
 
Ni ajabu na kweli.

Mfanyibiashara maarufu nchini, ageuke kuwa gaidi, tena wa kutaka kuwaua viongozi wakuu wa serikali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…