Polisi "wame-underestimate impact" ya kumtuhumu Mbowe kwa makosa ya ugaidi?

Subiri afike mahakamani haki itapatikana huko msitake Rais aingilie mhimili mingine pamoja na utendaji kazi wa idara zake.

Katoka Mdude

Wametoka Mashehe

Seti yupo nje

Hata Mbowe atatoka kama hakuwa na hatia.

Huo ndio utawala wa sheria.
Utawala wa sheria,naam utawala wa sheria wa kupekua mtu usiku!!
 
Kwanini tunamlaumu kwa mambo ya kipolisi kana kwamba kila kitu kinafanyika kwa maelekezo yake?
Wewe kwa akili yako hata kama ni mbovu, unaamini kuwa jeshi la polisi lifanye kitu cha aibu namna hii kinyume na mtizamo wa amiri jeshi mkuu wa majeshi yote? Umesikia akisema kitu mama mwenyewe? IGP umemsikia akisema lolote juu ya hicho kitendo/tamko la aibu?
 
Eti Mbowe ni gaidi alikwenda Mwanza kupanga mipango ya kumuua kiongoz x wa serikali,màgufoool amemuharibu mama
 
Huyo mama ameisha fail asubuhi na mapema, ngoja tuanze kumpiga spana mwanzo mwisho, kwanza tunamjua ana ‘roho’ nyepesi sana, sasa hivi ataanza ku panic....!
 

Unataka aseme nini wakati jeshi lipo kazini, vyombo viko huru kufanya kazi zake…. amri jeshi hawezi kudeal na vitu vidogo ambavyo RPC anamaliza.

Jeshini ni mwendo wa vyeo.
 
Atamtoa tu huko Mahabusu hedhi ikimalizika, Ndio ukweli wenyewe , hutaki kumeza tena chini!
 
Ni sisi wapinzani wenyewe tutaweza kujitetea, kwa sasa ccm wamepoteza ushawishi kwa umma, hivyo wamejihika na vyombo vya dola ili kuendelea kututawala kwa shuruti. Namna pekee ni sisi wapinzani kugoma kushirikiana na wanaccm.

Hakina kushiriki msiba wala sherehe ama hafla yoyote ya mwanaccm, hakuna kununua chochote kwenye biashara ya mwanaccm ama hata kupakia vyombo vyao vya usafiri labda iwe lazima sana. Tusiogope kuhamashana kwenye hili. Kwa vyovyote mbinu hii itamgusa kila mtanzania. Kwenye nyumba za ibada hakuna kutoa sadaka, na kuwaambia viongozi wa dini wanakalia kimya uovu. Mbinu hii haitatuacha na vilema wala kubambikiwa kesi, kutekwa ama kuuwawa. Mbinu hii ilitumiwa Zanzibar na ilifanya kazi. Madai ya katiba mpya ni ya halali, kwani wezi wa kura wasio na ushawishi waendelee kututesa na kutimiza kwa madai yetu halali. Ni juu yetu wapinzani kujiokoa.
 
Umekengeuka sana dogo.
 
Uliwahi kumwuliza kambazi anajisikiaje akivamia nyumba ya mtu akajeruhi halafu skaondoka na pesa?
 
Wazanzibari sijui wana feligi wapi?? Kama watangulizi wake wengine mama na yeye siku aking’atuka utasikia na yeye analalamikia mfumo kandamizi wa sirilika ambao yeye mwenyewe ndiyo alikuwa anau ongoza
 
gaidi anapo arrestiwa lazma ujiskie burudani na muwashwawashwa wa kujua hatima ya gaidi.so anajiskia poa[emoji106].sio yy tu naamini hata wewe hupendi ugaidi mkuu.
 
Mimo bado sitaki kuamini kwamba Rais ana infuence ktk hili. Naamini bado lile genge la wahuni linaendelea na kazi yake ya kishetani walilorithishwa
 
Wazanzibari sijui wana feligi wapi?? Kama watangulizi wake wengine mama na yeye siku aking’atuka utasikia na yeye analalamikia mfumo kandamizi wa sirilika ambao yeye mwenyewe ndiyo alikuwa anau ongoza
na kujifanya kuandika vitabu vya confession. Mambo ambayo yako ndani ya uwezo wao wanayafumbia macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…