Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

Yes kwa TZ usimkwide police au mjeda hata akikuonea. Bora kuwa bwege jamaa wanakuua halafu wanakutafutia sababu na imeisha.
Elsewhere jamaa angekuwa kortini sa hizi bila kipigo. Sasa wameshaanza eti kashambuliwa na wananchi! Uongo mtupu.
 
Wakimphila nawao watachoma sindano za kustopisha moyo
Siku zote usije kabisa ukajaribu kumshambulia Askari akiwa na Uniform au Mtumishi yoyote akiwa eneo la kazi kitakachokukuta hutokaa usaahu kamwe


Dr kapiga hesabu vibaya mbaya zaidi haya majanga watakushangilia saba ika ukiwa nwenyewe na wao sasa akili imekuja utabaki unajuta tu
 
Good redance
Polisi si watakuja huko kutibiwa mmalizane nao
 
Umeongea vema sana mkuu
 
Utaratibumpolisi hawafati na walitaka kumuua daktari mwenzako na huenda akafia ICU

Wewe daktari unalipizaje?
Kumbuka Kisasi ni haq
Kisasi ni haki. Ila hiyo haki italipwa na Mwenyenzi Mungu.

Pale hapakuwa panashambuliwa udaktari kama kada nzima. Alishambuliwa mtu ambaye ni daktari.

Silipizi kwa lolote. Kwa sababu si madaktari wote wamefanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…