MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Haitosaidia, Maana kitendo cha yeye kuchomeka tu laini ya simu, taarifa zake zote, ikiweno majina yote, namba ya NIDA, mahali alipo n.k hata akikimbia ni kazi ndogo kwa polisi kumtrace na kumkamatazima simu itupilie chini ya uvungu ata miaka alaf tupa line
Labda dini yake ndio inavyomfundisha.Mzee mzima mshika dini huna Ustaarabu? Yanini kumtusi mama usiyemjua kuwa anadanga? Ndio ninyi mnataka kutufundisha dini za peponi wakati matendo yenu ni sifuri
Hahah na ukute akuacha 10 tu waliilamba kiasi,,siku ingine usiende peke ako pale unapoiokota kama upo na watu anagalau sindikizana nao polisi,Siku moja gari la Magereza lilipita spiidi ikadondoka kofia ya afisa magereza. Nikapeleka kituo cha polisi. Yaani pamoja na wema niliofanya niliulizwa maswali mengi sana. Moja ya maswali waliniuliza.
" Kofia kama hii kwanini umeileta polisi kwanini usiiache hapo hapo?"
Swali la kimtego nikawajibu kwamba Kofia hii ina nembo halisi ya jeshi la polisi magereza, kama mhalifu ataipata kazi yake itakuwa ndogo sana ni kujishonea mag Wanda na akikamilisha ataenda gereza lolote na kujifanya askari akafanya uhalifu wowote.
Huwezi amini niliachiwa nikarudi nyumbani. Kesho yake nilipoenda kuripoti nikaambiwa jamaa alienda kituoni kuulizia kama kuna kofia imepelekwa pale. Niliikuta elfu kumi zawadi.
Uko wapiHalafu akatoa line akaweka yake.....
Si ajabu hata hiyo tv na jiko la gas kuna mtu kaviokota.
KweliZima simu potea. Waachane na wewe.
Yaani akienda ndio ajiandae million za kulipaPotea wewe...zima simu,tupa laini yako,potea kabisa hewani.Na hiyo simu usitumie tena.Laini yako na simu usitumie tena.
Andaa tu pesa ili wakuachie,hilo kwao tayari ni dili,utaratibu ni kuwa ukiokota simu sio ya kwako unatakiwa kutoa taarifa polisi,kwahiyo kwakuwa hukutoa taarifa wewe tayari ni suspect no.1,mkwala wao wa kwanza watakuweka ndani,then watajifanya wanataka kukufungulia mashtaka ya wizi,msipoelewana kwenye kuwapa chochote hatua inayofuata ni mahamani kwa kosa wizi...Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,
Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili.
Je, machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa
Ukweli ubaki kuwa ukweliDah umemkosea sana huyo jamaa.
Leo nimeconfirm kichwani ni mtupu hadi sio poa.
Hata akizima Laini aliyoweka inautambulisho wa Nida hivyo watadeal na mhusika , ukishaweka laini kupitia IMEI number ya kifaa huwa kunapatikana taarifa za laini, IP address, location n.k kwahiyo hawezi toboa hata kama akizima as longer as walishanasa hizo taarifa.Zima simu potea. Waachane na wewe.
1987 kulikuwa na noti za sh. 10,000/-?Kumikumi mpya zikipangwa kwa kunyooka zinapangika na hushindiliwa kwa kuzikalia.
Atasema tu alikoitoa.....Na kwanini aokote yeye, watu wengine walikuwa wapi ππ
Hapo kwa kutumia DOCTRINE OF RECENT POSSESSION wewe ni mwizi na ndiye uliyeiba simu hiyoMsaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,
Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili.
Je, machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa
usisahau kupitia laini uliyotupa kama ulisajili kwa jina lako kwa kitamulisho chako rasmi mfano cha NIDA basi washapata jina lako hata picha yako wanaweza hadi fika hadi baraza la mitihani NECTA au chuo ulikopata diploma au degree kama ulifika,leseni ya udereva kama unayo,pia wanaweza kusikiliza simu zote ulizopiga kwa kutumia laini uliyotupa watapata wazazi wako,mkeo au ndugu yoyote wa karibu kupitia hao watakupata.. kote huko system imehifadhi taarifa zako ndomana ushauriwa usimpe mtu kitambulisho chako asajilie namba ya simu siku akiyakoroga hilo janga lakoSimu naitupa kabisa,natumia simu yenye imei nyingine na laini nyingine kabisa,hapo vipi mkuu?
Wakiadvance kufikia huku itakua poa sana,wahalifu watakamatwa kama kuku bandaniusisahau kupitia laini uliyotupa kama ulisajili kwa jina lako kwa kitamulisho chako rasmi mfano cha NIDA basi washapata jina lako hata picha yako wanaweza hadi fika hadi baraza la mitihani NECTA au chuo ulikopata diploma au degree kama ulifika,leseni ya udereva kama unayo,pia wanaweza kusikiliza simu zote ulizopiga kwa kutumia laini uliyotupa watapata wazazi wako,mkeo au ndugu yoyote wa karibu kupitia hao watakupata.. kote huko system imehifadhi taarifa zako ndomana ushauriwa usimpe mtu kitambulisho chako asajilie namba ya simu siku akiyakoroga hilo janga lako
Msaada wa kisheria simu ya kuokota nakamatwa na polisi. Mama yangu aliokota simu smat phone akanipa sababu yeye Hawezi tumia nikaweka laini hapa nimepagawa,
Hii imekaaje mbaya zaidi aliepoteza simu anadai kwao ilibiwa simu, TV nch 32, jiko la ges plate mbili.
Je, machomokaje katika hili tatizo?
Mkiona kimya mjue nawasiliana na polisi maana wanasumbua balaa
Ilikuwaje?Kuna jamaa na yeye alikutana na binti anazurulazurula na nguo za shule (primary) kama km 20 nje ya mji.Kumuuliza binti haelewi.Akamlipia nauli akampeleka kituo cha polisi.Kwa kifupi jamaa alikoma sidhani kama atarudia tena.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£