Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

Ukiokota kitu unatakiwa ukipeleke police! Hapo auna ushaidi kama uliokota au uliuziwa🤣. So unaesabika kama mwizi. Pole sana
 
Simu yenyewe ndio uliyotumia kuandikia post yako hapa? Kama ndio basi unaendelea kutenda kosa jingine kwa kuanzisha uzi ukitumia simu ya wizi
 
Loweka simu nalaini kwenye ndoo ya maji biashara itaishia hapo.
 
Mkuu mimi sijaiba
 
We kajisalimishe, tii sheria bila shuruti wakitaka wanakuja na pila ulipo wanakudaka kama kuku mwenye mdondo.
Ni kweli walikuja maskan sijui nani kanichomesha ila sawa tu nawaza natokaje yani. Jamaa wako serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…