Polisi wamenitrack niliokota simu, kesho natakiwa kituoni

Umeokota msala mzee. Watakwambia mmiliki wa simu aliuwawa. 😁
 
Sheria inakutaka ukiokota mali ya kuokota kuipeleka polisi au kuikabidhi ofisi za serikali ya mtaa ambao wataikabidhi polisi, ww umekaa nayo na kuimiliki kama yako kinyume cha sheria, kutokujua sheria sio excuse, utawajibika
 
Razima urisaidie rijeshi ra porisi 😄
Usawa huu unaokota tu smart phone unatumia tuuuu

Kama unachievable ni kweli basi lazima upate mbilinge kidogo
Polisi hawana jambo dogo

Ova
Kaka hamna namna naweza wapoza jamaa?
 
Lakini si kaokota?
Anatakiwa athibitishe beyond doubt kama kweli ameiokota na pia aseme Bastola na pesa milioni 5 nazo aliziokota au ameziweka wapi🤣 Usiombe Uchaguliwe Kuisaidia Police🤣🤣
 
Sheria inakutaka ukiokota mali ya kuokota kuipeleka polisi au kuikabidhi ofisi za serikali ya mtaa ambao wataikabidhi polisi, ww umekaa nayo na kuimiliki kama yako kinyume cha sheria, kutokujua sheria sio excuse, utawajibika
Ila sio fea sheria ilibidi zitungwe upya sisi hatujui utaratibu ni uonevu huu
 
Anatakiwa athibitishe beyond doubt kama kweli ameiokota na pia aseme Bastola na pesa milioni 5 nazo aliziokota au ameziweka wapi🤣 Usiombe Uchaguliwe Kuisaidia Police🤣🤣
Hapana hana bastola
 
Mwambie Mama yako na bakikisha unaenda nae, mkaseme ukweli. Kama alianza kukataa basi fahamu kuna lingine ila wewe ni mwanae basi anabidi aende nawe akawaelezee.
 
Kaka cha kuokota sio cha kuiba
 
Michongo hiyo babu. Mtafute mkubwa awapigie mlimalize nje ya uwanja japo zikutoke kidogo.
 
Ukiokota kitu unakisalimisha polisi au kwa mwenyewe akitokea. Kinyume na hapo umeiba. Sasa ukitaka ujue umeiba subiri polisi wakukamate nacho uwaambie uliokota. Mleta mada mpaka dakika hii ana kesi ya wizi wa simu.
 
Nauli ya kwenda Burundi ni franga ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…