Polisi wameshindwa kumkamata huyu tapeli anayewapiga Walimu kila siku?

What is the base of your argument?

1. Ili TISS waingilie kati lazima jambo lihusishe vifo vya watu wengi? Upo sawa kweli mkuu?

2. Kwamba ufisadi wa mamilioni ya fedha unaodhoofisha uchumi wa nchi na kusababisha kukosekana kwa huduma za jamii.....na hata kupelekea vifo vya raia sio suala la kiusalama kwa nchi? Kivipi?

3. Hivi akitokea mjinga mmoja akaiba vyuma vya reli akauza chuma chakavu na kupelekea ajali kwa mamilioni ya watanzania wanaosafiri kwa treni sio ishu kwa sababu limesababishwa na njaa za mjinga mmoja tu?

What the hell do you understand by the term "national security"?

Unachekesha sana🤣🤣🤣🤣
 
lawama zote kwa polisi.
sasa hata yale ya kimahakama ni ya polisi hata yale ya idara husika ni ya polisi.

Dah polisi wetu bana wanakazi sana.

ushauri
kilamtu ajiongeze sana na atake kujiridhisha mara mbilimbili linapofika swala la fedha
 
Kipindi cha magufuli alikamatwa na waliomkamata hakuwajua na hakujua alikuwa wapi mpaka siku anatoka. Rushwa aliyotoa ilikua ni kubwa mpka ilipelekea kuyumba kiuchumi jamaa akawa ni mtu wa vijiweni na kugongea, sasa ivi mambo mazuri tumshukuru mama jamaa ana kausha damu zake nadhani Tanzania nzima ni mwendo wa kuamka baa na kulala baa pembeni ma slay queen.
Bila kusahau kafara zake za binadamu wa kutosha
 
Wana kinga .....wakua hawaulìzwi hawashitakiwi ....wana ruhusiwa carry gun na ku enforce kama police....
Sasa kwanini wasiingilie kati hawa wamatapeli wanaotusumbua kila kukicha?
 
Hakijafanyiwa marekebisho,
 
Attachments

  • Screenshot_20240101-142119.png
    78.3 KB · Views: 3
Wana kinga .....wakua hawaulìzwi hawashitakiwi ....wana ruhusiwa carry gun na ku enforce kama police....
Hawaruhusiwi, napinga marekebisho ya hiyo Sheria ya TISS ya mwaka 2023, hayajagusa kifungu Cha 5(2)(a)(b) cha TISS act,
 
Du! Kama ni hivyo basi jamaa kaitia serikali nzima mfukoni mwake na kuna uwezekano atakuwa anashirikiana na wakubwa kutapeli raia. Kwanza majina ya watumishi wote Tanzania nzima anayapata wapi kama sio matapeli wenzake kutoka serikalini ndio wanampa?
 
Jamaa si kama unavyomfikiria historia yake unaijua? Alikua ni mkurugenzi, meneja wa taasisi kubwa tu hapa code tunanzingatia. Wewe usimfatilie bali angalia na pambana jinsi ya kumuepuka
 
Jamaa si kama unavyomfikiria historia yake unaijua? Alikua ni mkurugenzi, meneja wa taasisi kubwa tu hapa code tunanzingatia. Wewe usimfatilie bali angalia na pambana jinsi ya kumuepuka
Heee! Kumbe hakamatiki na wala hadhibitiki? Basi ngoja watanganyika waendelee kuibiwa mpaka akili ziwakae sawa.
 
Utapeli ni biashara kubwa na HALALI kabisa Tanzania.

Hata serikali inatapeli watumishi.

Vyama vya wafanyakazi vinasaidiana na serikali kutapeli watumishi.

Serikali inatapeliwa kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…