Polisi wameshindwa kumkamata huyu tapeli anayewapiga Walimu kila siku?

Polisi wameshindwa kumkamata huyu tapeli anayewapiga Walimu kila siku?

Utapeli ni biashara kubwa na HALALI kabisa Tanzania.

Hata serikali inatapeli watumishi.

Vyama vya wafanyakazi vinasaidiana na serikali kutapeli watumishi.

Serikali inatapeliwa kila siku
Kumbe utapeli ni kansa isiyotibika nchini Tanganyika? Basi tumekwiaha!
 
Wanafunzi wanafaulu kwa kudra za Mungu na kwa kurahisishiwa mitihani na serikali ya CCM; sio kwa juhudi za walimu.
Waboreshewe mishahara wana maisha magumu sana wenye mafanikio ni wale wanaojiongeza.
 
Inawezekanaka kabisa. Huyu jamaa katapeli watu wengi sana lakini hakamatwi. Shida iko wapi? Kuna tatizo mahali.
Nao wanatapeliwaje na mtu usiyemjua anayekupigia simu. Hii imekuwa kama JF waliotapaliwa na Jamaa yule wa Kuvuna Pesa ONTARIO
 
Kwani haujui sifa mojawapo ya kuwa mwalimu ni kufeli?
Ukiongea na mwalimu unagundua kabisa kuwa unaongea na mtu mwenye upeo mdogo sana. Wakati mwingine inakuws vigumu kumtofautisha na mtu asiyeenda shule.
 
Wanafunzi wanafaulu kwa kudra za Mungu na kwa kurahisishiwa mitihani na serikali ya CCM; sio kwa juhudi za walimu.
Wewe ni NDUKUM kama unaamini walimu hawana msaada wowote kwa ufaulu wa mwanafunzi.
 
Wewe ni NDUKUM kama unaamini walimu hawana msaada wowote kwa ufaulu wa mwanafunzi.
Nawe kuwa na akili usikurupuke tu kama panya aliyekurupushwa kutoka kwenye kibuyu. Hivi umesoma na kuelewa nilichoandika wewe ndezi? Hebu soma upya komenti yangu kwanza.
 
Back
Top Bottom