eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,321
Mtaitapika Ndoano ya mjomba wenu Mwarabu, Wananchi wameamuka.Lussu ni mwehu asiye na sera, hajuwi aelekee wapi, anadandia kila basi.
Na wewe nae, mada ngorongoro wewe upo bandarini.
Bandari ndiyo sahau, juzi imetangazwa tenda, kama unaweza kafanye kazi, la huwezi, tulia.
Huu ndiyo ujinga wa Kitanzania.
Mbona ni likes kibao mpaka zingine zimemwagikaIvi unajua kwamba idadi ya likes ktk post yako inakupa majibu ya ulicho andika??.
Shujaa Magufuli
Jasiri Tundu Antipas Lisu
Mzee baba yako! Tunaongelea kiongozi Dkt Samia. Anapendwa na anapendeka!We mzee mbona unakuwa muongo sana, mi nipo kwa Samia kabisa unguja hawamuelewi. Achilia mbali sifa zenu mnazompa mi nahisi yeye mwenyewe anaelewa uhalisia uliopo nchini
Kumbe mlitoa mgao?Nyie mgusane hukohuko mnakofundishana na wale wazee maarufu kwa mambo hayo. Mpaka umoja wa Mataifa inawajuwa kama inavyoijuwa Ngorongoro. Unataka ushahidi?
Nafahamu sana, kwenu kawaida kuguswa guswa na kuchezewa huko "ikweta", kwetu hata mikono hatugusani kijinga. Kumbuka hilo.
Huyo mwehu kuna habari zake tunazo, kuwa kishaanza kumkorofisha Mbowe, anadai na yeye mgao wake kwa nguvu.
Mbowe kasema hataki kuonana nae kabisa, jiulize kwanini? Huyo ukimuona alipo Mbowe ujuwe kajipeleka tu.
Simpendi nani kaka?Humpendi??
Mgao wa nini? Sadaka?Kumbe mlitoa mgao?
Taratibu tu mtasema yote!
Kwani nimekubishia? Mm nilikuwa nakukumbusha tu. [emoji28]Mbona ni likes kibao mpaka zingine zimemwagika
"Huyo mwehu kuna habari zake tunazo, kuwa kishaanza kumkorofisha Mbowe, anadai na yeye mgao wake kwa nguvu".Mgao wa nini? Sadaka?
Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio gereza & Wamaasai sio wafungwa wa gereza hilo. Sisi tutakuwa Ngorongoro kuanzia kesho!
Tundu Lissu
Mtandao wa X
Tunapenda kukufahamisha kuwa barua yako tajwa tumeipokea ikiwa na maudhui ya kufanya vikao vya ndani na mikutano ya hadhara maeneo ya kata 3 zizopo tarafa ya Loliondo na kata 3 zilizopo tarafa ya Ngorongoro.
Hata hivyo tarafa ya Ngorongoro ni eneo la Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro na kwamba kuingia na kutoka eneo hilo ni sharti kufuata taratibu zinazosimamia eneo hilo (kupata kiball kutoka Mamlaka ya Ngorongoro).
Aidha kwa upande wa tarafa ya Loliondo kulingana na tarifa mbaimbali tulizo nazo haziruhusu kufanya shughuli za kisiasa hasa mikutano ya hadhara.
Kutokana na sababu hizo hapo juu, tunaelekeza kwamba usitishe mikutano hiyo kwa sasa hadi wakati mwingine ambao utakuwa mwafaka kwa ustawi wa amani na utulivu wa wilaya yetu.
Hio combinations na Mdude ChademaJamaa siyo muoga hata kidogo
Yaan umeandika kinafiki hatari, nyie ndio mnampoteza huyo mama yenuNadhani wanakosea. Rais Dkt Samia hataki uminyani ya uhuru wa siasa. Hawa polisi wanakosea. Mh. Lisu hata fanyeje hakubaliki kabisa. 2025 ni Dkt Samia pekee ndiye anapendwa zaidi. Polisi wamuache azurule atakavyo maana kukaa ndani ulaya kumemchosha sana. Ukizingatia hana mshahara hizo ndiyo per diem zake jamani.
atlas copco mama ana washauri mahili sana. Mchezo nyie hamuujui. Watanzania walioko vijijini wanachojua kuwa rais ni mchapa kazi na hao ndiyo wapiga kura na siyo nyie wa mtandaoni msiopiga hata kuraYaan umeandika kinafiki hatari, nyie ndio mnampoteza huyo mama yenu
Kweli we ni chawaNadhani wanakosea. Rais Dkt Samia hataki uminyani ya uhuru wa siasa. Hawa polisi wanakosea. Mh. Lisu hata fanyeje hakubaliki kabisa. 2025 ni Dkt Samia pekee ndiye anapendwa zaidi. Polisi wamuache azurule atakavyo maana kukaa ndani ulaya kumemchosha sana. Ukizingatia hana mshahara hizo ndiyo per diem zake jamani.
Binadamu kweli ni wanafiki hatari [emoji3][emoji3]Loliondo nako ni kitalu cha kuwinda, nani alimwambia waliokodisha hicho kitalu na wageni wao wanaokuja kuwinda kuwa wanataka siasa?
Huyo mwehu anatafuta kiki kijinga.
Amina[emoji24][emoji1666]Mungu akusaidie, InshaAllah [emoji120]
Ila tafadhali, utaniombea Msamaha kwa hao Vijana, kwamba Mkataba sikuupenda na kuonesha kutokubaliana nao tuliandika maoni yetu hapa JamiiForums hivyo msije kuchapa bakora kabuli langu nitakapokuwa nimelala usingizi wa milele [emoji847]
Mwamba Lissu!!!Kama Ujumbe wa EU ulikataliwa sina hakika kama Mhe. Lissu na Chama chake wakakubaliwa kwenda huko Ngorongoro.
Inaonekana kuna mambo Serikali inajaribu kuyaficha wasijulikane.
Ndiyo maana hata Mbunge wao nilisoma hapa JamiiForums kuwa alitoweka asijulikane alipo kwa muda wa siku kadhaa.
I smell fishy
Ndugu zake na marafiki wa mkubwa wanakula mema ya nchiSamia ni zimwi kabisa, hivi huko Ngorongoro wanaficha kitu gani? huyu mwanamke ni mtu wa ajabu na hatari sana, asiye huruma kabisa.
Sasa ameamua kutumia cheo chake kuwanufaisha anaowajali yeye, wala hatujali watanganyika alioapa kuwatumikia.
Huyu mtu anastahili kabisa kupelekwa mahakamani kwa kukiuka kiapo alichoapa, amegeuka msaliti wa wazi kabisa asiye na chembe ya aibu.
Sitaki kuamini siku hizi ndani ya nchi yetu kuna sehemu hatutakiwi kukanyaga, huku ni kuvunja sheria makusudi, halafu akiambiwa ukweli anasema ameziba masikio na kutafuta uadui na watu, huyu dikteta mwanamke ni balaa kabisa.
Wajue tu, vile wanavyozidi kuzuia watu wasiende Ngorongoro ndivyo ambavyo wengi watataka kujua wanachoficha huko, iko siku ukweli utafahamika.
Acha uzushi. Uchawa unalipa.Kweli we ni chawa
Ile kesi ya MWIBA HOLDING itasikilizwa 2024.....Jamaa Tindu Lissu mzee wa mikakati [emoji2] sasa ndio wakati wa kupasua lile jipu la wana ngorongoro ndio limeiva