Polisi Wamkamata Mwanachama wa CHADEMA kwa kosa la kuiba michango ya Tundu Lissu

Kamanda acha basi kututoa kwenye reli. Tunajadili pesa ya mwenyekiti wetu kutafunwa na wajanja wewe unaweka porojo nyingine ili kuharibu mjadala? Hujui kuwa unaihujumu chadema kiujanja? Au na wewe umepata gawio la huo upigaji?
Umeona eenh? Anazorotesha juhudi za kumpambania mwenyekiti kule Shimoni
 
Acha kutunga tustory twa uongo uongo na chuki ili kuwavunja moyo wenye nia
 
Kwenye Account ya Allute Mugwai Lissu ambaye ndo kaka wa Lissu na ndo mlalamikaji Mwizi anaitwa Fedrick Mbwambo
Huyo Frederick alipewa hela na nani wakati namba iliyotolewa ni ya kaka yake Lisu tu? Au alikuwa anapita nyumba kwa nyumba? Toka lini polisi wakajihangaisha na madhila ya Lisu au cdm. Mbona polisi hawajawakamata waliimpiga Lisu risasi lakini wamkamate ambaye namba yake hatukuiona kwenye michango?
 
Kamanda acha basi kututoa kwenye reli. Tunajadili pesa ya mwenyekiti wetu kutafunwa na wajanja wewe unaweka porojo nyingine ili kuharibu mjadala? Hujui kuwa unaihujumu chadema kiujanja? Au na wewe umepata gawio la huo upigaji?
Kaokoteni mafala, waliompiga Lisu risasi polisi hawajawakamata hadi leo, ilq wamemkata aliyekusanya 19m ambaye namba yake hautukuiona ikichangisha hela. Weka ushahidi wa hiyo namba ikisema ichangiwe hela kwa ajili ya Lisu. Bado mnadhani watu wako usingizini kwa propaganda outdated?
Mshana Jr
 
Namba si mnaletaga mpaka humu Jamii Forums tumchangie?
 
Yawezekana ni kweli kwasababu CDM wao sio malaika ila sasa kutokana na mienendo ya taasisi fulani
Itaonekana CDM wanaonewa
Tatzo linakuja kwenye iman
 
Mi nilionya tangu mwanzo vitendo vya upigaji
Ulionya huku ukipelekewa moto mkali na Abdul faraghani? Kila siku unamuaga mke wako unaenda kazini kumbe umeweka rindarehani.

Serious shameless bustard.
 
Jeshi la Polisi limevamia nyumbani kwa Yoromu Mbyella, mfanyabiashaa ambae huwa anauza sare za CHADEMA wakidai wanamtafuta kwa kosa la kutengeneza Tshirt za FREE TUNDU LISSU

Kwa mujibu wa mtoa taarifa, Mbyella mwenyewe hakuwepo nyumbani so Polisi walifanya upekuzi na baada ya kumkosa waliondoka kwa muda.

Baadaye walirejea wakiwa na Gari aina ya Fuso kisha wakabeba nguo zote na vifaa vyenye nembo ya chadema ikiwemo Bendera za Chadema ambazo huwa anauza kisha wakaondoka na mali hizo bila kutoa sababu zaidi.

Kwa mujibu wa mke wa Mbyella (anayeuza nguo na vifaa vya chama) nyumbani kwao kuna duka la kuuza vifaa hivyo ambavyo Polisi wameondoka navyo vyote.

Tunafuatilia kufahamu sababu hasa ya kuvamia nyumbani hapo na kuleta taharuki kwa mtu ambaye hata kama wangemhitaji Polisi, wangempatia wito na angefika kituoni kama Polisi walikuwa na jambo na Mbyella.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…