Polisi Wamkamata Mwanachama wa CHADEMA kwa kosa la kuiba michango ya Tundu Lissu

Jeshi la Polisi limevamia nyumbani kwa Yoromu Mbyella, mfanyabiashaa ambae huwa anauza sare za CHADEMA wakidai wanamtafuta kwa kosa la kutengeneza Tshirt za FREE TUNDU LISSU

Kwa mujibu wa mtoa taarifa, Mbyella mwenyewe hakuwepo nyumbani so Polisi walifanya upekuzi na baada ya kumkosa waliondoka kwa muda.

Baadaye walirejea wakiwa na Gari aina ya Fuso kisha wakabeba nguo zote na vifaa vyenye nembo ya chadema ikiwemo Bendera za Chadema ambazo huwa anauza kisha wakaondoka na mali hizo bila kutoa sababu zaidi.

Kwa mujibu wa mke wa Mbyella (anayeuza nguo na vifaa vya chama) nyumbani kwao kuna duka la kuuza vifaa hivyo ambavyo Polisi wameondoka navyo vyote.

Tunafuatilia kufahamu sababu hasa ya kuvamia nyumbani hapo na kuleta taharuki kwa mtu ambaye hata kama wangemhitaji Polisi, wangempatia wito na angefika kituoni kama Polisi walikuwa na jambo na Mbyella.
Mkoa au wilaya gani yamejiri hayo mang'ana mkuu!?
 
Screenshot_20260417-113057~2.png
 
Smartness huonekana kwa vitendo na wala si kukaa kimya na kusubiri watu waseme ..."yuleee ni smart"...au "wale huwa smart wasipokuwa na wao"!
Mkuu, Polisi ina watu smart, ila giza limewafunika na wanagopa wana familia wale
 
Hao jamaa ni takataka wasiostahili kuheshimiwa hata na mtu mwenye kichaa.
 
Back
Top Bottom