Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

They always fixin' to put that medicine on him, which could explain why he always embarks on hunger strikes everytime he's incarcerated.
 
Shujaa wa kujificha chini ya meza za mahakamani😀😀😀
 
shida nchi hii bwana wasomi na wasio wasomi hakuna tofauti wapo wanao sifia haya yanayo endelea
 
Mkojo unahusiana vipi na uchochezi? Hii nchi ngumu sana kwakweli
Wanataka kujiridhisha kama anatumia madawa ya kulevya maana kwa hali ya kawaida si rahisi kusimama na kumwita rais wa nchi dikteta uchwara
 
Hili ni jambo la kushangaza sana ni kwanini Lissu aogope kupimwa mkojo ikiwa ni utaratibu wa kawaida sana kwa mtu anayehisiwa kuwa under influence of medication?

Gwajima alipimwa mkojo bila mtafaruku na akaachiwa bila shida.

Je Lissu anaficha nini?

Kwa wataalamu wa afya watakubaliana na mimi kuwa mtu yoyote anayebwabwaja kiasi cha kukamatwa na polisi ni lazima apimwe ili kuondoa uwezekano wa yeye kuwa na chembechembe za ulevi.

Inashangaza sana kwa Lissu kugomea kipimo cha kawaida kabisa ili kujisafisha na kuondoa doubts.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…