Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Bongo akili za wakemia zipo hovyo sana uchochezi na mkojo wapi na wapi si wakamatwe watanzania wote basi wapimwe mkojo akili za kijima sana maendeleo mtayasikia tuu..
Kwani uliona watanzania wote wanaropoka kwenye media?
 
Hata kesho jmamosi wampeleke mahakamani

Ova
 
Narudia tena kubashiri safari hii huyu jamaa atakaa sana ndani, inaweza fika miezi na miezi
 
Back
Top Bottom