Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Kumbe shida yako mkojo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wewe ukienda kuandikisha kupiga kura utakubali kupima stool kama mwandikishaji atakutaka?
 
Umeambiwa umeiba pesa oficini, unakamatwa unapelekwa polisi,
Polisu mmoja anasema wakupime "choo" kwa akili za kawaida utakubali?

Kwa namna tunavyoendesha vyombo vyetu ba taasisi zetu, ni rahis sana kumbambikia mtu kesi nyingine..... Au kuchafua jina la mtu bila sababu...

Lissu has played it smart
 
Gwajima na wale wengine walisingiziwa kujihusisha na madawa ya kulevya wakati Lissu amezushiwa kesi ya uchochezi, sasa mkojo na uchochezi wapi na wapi
 
Mrema kasema vipimo vimeshachukuliwa, sasa tumwamini nani?
 
..., swali wewe umewahi kumuona Tundu Lisu akinywa bia?
Bia si polisi wana kipimo chao wanachokitumia kupima madereva....na kipimo hicho kinahitaji mtu kuachama na kutoa hewa nje kwa nguvu kupitia mdomoni na kwenye kipimo chao! Au swali lako lililenga nini hasa?
 
Dawa yake ni kumuacha kama wiki hivi lazima arosto ipande
kumuacha ndani bila mpango haiwezekani au umesahau yale matusi mliyotukanwa na majaji hapa arusha baada ya kuchelewesha dhamana ya lema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…