Nchi inaenda ki undava ndava tu,sheria zimetupwa kule,sasa ni wewe mwenye madaraka kuamua unataka ufanye nini,akili busara hakuna tena,ni kujaribu kumpendezesha mkulu,ukiamini hivyo ndio anataka ifanyike,
Leo unafunga vituo vya kuuzia mafuta,kesho bosi wako,anavifungua na kuwapa muda wa kutekeleza maagizo,sasa ukujua,au hauna akili,wala busara,yaani TZ tunatia aibu,dunia imestaarabika Siku hizi,uwezi kuendeaha nchi bila kufata sheria,au unafata ile uipendayo,
Kule Israel,hata aliye wai kuwa waziri mkuu,anaonja jera akifanya makosa,na nchi imeendelea,kwa kila sekta,ulinzi,teknolojia,kilimo,na kwao hakuna alie juu ya sheria,
Huku kwetu kuna majizi kibao,eti hayawezi kushitakiwa eti yana kinga,kugandamiza haki za watu,hakuleti maendeleo,hata ya hari tu,ya wananchi