Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Mtu anatuhumiwa na kesi ya uchochezi, upelelezi unakwenda kumpekua mtu nyumbani kwake na kumpima kwa mkemia

Hii inatosha kukosa weledi wa kutokupata muafaka kwa mauaji ya kibiti.
 
Nchi inaenda ki undava ndava tu,sheria zimetupwa kule,sasa ni wewe mwenye madaraka kuamua unataka ufanye nini,akili busara hakuna tena,ni kujaribu kumpendezesha mkulu,ukiamini hivyo ndio anataka ifanyike,
Leo unafunga vituo vya kuuzia mafuta,kesho bosi wako,anavifungua na kuwapa muda wa kutekeleza maagizo,sasa ukujua,au hauna akili,wala busara,yaani TZ tunatia aibu,dunia imestaarabika Siku hizi,uwezi kuendeaha nchi bila kufata sheria,au unafata ile uipendayo,
Kule Israel,hata aliye wai kuwa waziri mkuu,anaonja jera akifanya makosa,na nchi imeendelea,kwa kila sekta,ulinzi,teknolojia,kilimo,na kwao hakuna alie juu ya sheria,
Huku kwetu kuna majizi kibao,eti hayawezi kushitakiwa eti yana kinga,kugandamiza haki za watu,hakuleti maendeleo,hata ya hari tu,ya wananchi
 
Huu ujinga Wa dereva Wa lori inabidi ufike mwisho.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wameenda kwake ili waende na mihuri mifukoni wamchomekee kama walivyomfanyia manji lakini nadhani Mungu atamlinda kama alivyomlinda miaka yote.
Hapa ni kwamba kila jitihada zinafanywa kuhakikisha kwamba anabambikiwa kesi ambayo haina dhamana...maagizo kutoka juu!
 
sawa basi tutapeleka kwenye accredited lab kama hiyo ndio hoja.kwa nini agomee kupimwa?
Wewe ukishikiliwa kwa kosa la driving under the influence (drinking and driving) halafu ukachunguzwa kwa losa la kuvunja bank au kuua utaona ni Sawa!?

By the way accreditation labs zipo kibao. Analyses siyo lazima zifanyike Tanzania!!
 
Kama amaekataa kupimwa afunguliwe shitaka lingine la obstruction of justice,anafanya michezo ya kitoto tu
 
Back
Top Bottom