Ze General
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 1,508
- 1,253
Kwahiyo wakifika watamuambia kojoa!!!!? Na akidai sijisikii kukojoa/sina mkojo.....what next!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] wameona uropokaji sio wa kiwango hichoUropokaji na ngada ni vitu vinavyoendana
Akuchozae sikuzote, hakosi sababuDaaah kumbe zile kauli huwezi kuzitoa ukiwa mzima aisee!
Mkojo unahusiana vipi na uchochezi? Hii nchi ngumu sana kwakweli
Baba alinishauri niwe polisi lkn nikaasema sitoweza mzee labda tuhame nchi ndio niwe polisi. Ninapokuwa ktk majukumu Mimi kufuata jambo kisa mkubwa amesema siwezi. Jeshi la polisi liache kujivunjia heshima ikiwa Hii habari ni ya kweli. Matokeo Yake ni kulidharaulisha jeshi zima.Polisi wamfikisha Tundu Lissu ofisi za Mkemia Mkuu kupimwa mkojo kabla ya kupelekwa nyumbani kwake kupekuliwa, Mkurugenzi Chadema amesema.
More to follow
Ndio maana alitaka kumfungulia kesi Makonda!
Dah huu mtandao ni hatari sana
uchochezi unapatikana kwenye mkojo?Kama anatumia dona basi kwisha kazi yake
Kupimwa mkojo ndio kilicho sababisha zile tuhuma za uchochezi....[emoji15] [emoji15] [emoji15]Tunasubiri majibu tujue yukoje.
Wenye akilizao washapigia mstari...[emoji13]
Kwani ile mambo wanabwia hadharani Jombaaa?Nimesoma na Tundu Lissu sikuwahi muona hata akionja pombe labda kama kajifunza ukubwani
Wanaokoteza mashtaka uchwara.Polisi wamfikisha Tundu Lissu ofisi za Mkemia Mkuu kupimwa mkojo kabla ya kupelekwa nyumbani kwake kupekuliwa, Mkurugenzi Chadema amesema.
More to follow
Siajabu nawao wameagizwa