Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Uropokaji na ngada ni vitu vinavyoendana

Kwa utoto huo halafu unaambiwa serekali inabana matumizi. Unabana matumizi kisha unatumia hovyo kupambana na ukweli badala ya kujirekebisha!! Halafu kwa akili hizi ndio boss wa Barrick arudi kufanya kikao cha kudaiwa hela za makinikia ya mikataba halali? Hapa ndio huwa wazungu wanatucheka ile mbaya na kutuita nyani.
 
Uchochezi na mkojo wapi na wapi au wanahisi ana UTI !?!?
Hawa polisi sijui vipi aisee...
 
Polisi wamfikisha Tundu Lissu ofisi za Mkemia Mkuu kupimwa mkojo kabla ya kupelekwa nyumbani kwake kupekuliwa, Mkurugenzi Chadema amesema.

More to follow
si bure hii, watakuwa wamemdunga sindano ya cocaine hao Mafioso...ili apatikane na hicho kiatili!
 
Akili za kimakinikia hizi.
Kama hawawezi kumtia hatiani katika fair grounds, is better to let him go kuliko kuokoteleza ushahidi wa kijuha na bado akawashinda.
 
si bure hii, watakuwa wamemdunga sindano ya cocaine hao Mafioso...ili apatikane na hicho kiatili!
Ni kosa kutumia, sio kosa kukutwa umetumia!
Sheria iko clear
 
Hehehehe maajabu hayo

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Polisi wamfikisha Tundu Lissu ofisi za Mkemia Mkuu kupimwa mkojo kabla ya kupelekwa nyumbani kwake kupekuliwa, Mkurugenzi Chadema amesema.

More to follow
Mkojo unautoa mbele yao au unapewa faragha? Kama natumia nawapelekea Maji! Halafu uhakika mkojo utaopimwa ni wako utajuaje?
 
Back
Top Bottom