Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Hakuna lolote. Wanapoteza muda ili tu alale ndani leo. Jumatatu wanaanza tena abradakadabra zao. Sijui tumerogwa? Unakamatwa kwa uchochezi ila uchunguzi wa askari wetu sasa...unaanzia kwa mkemia mkuu kupimwa mkojo then kwako kupekuliwa. Huu ni "ulofa na upumbavu".

Una Akili na unazitumia vizuri sana ,asante sana kwa mchango wako Mkuu..
 
Kama wanamtafutia keshi ya dawa za kilevya wamechemsha coz tumeambiwa ni mchochezi tunahitpaji ufafanuzi kipengele kwa kipengele kwenye hutuba yake neno gan la uchochezi sio kumtafutia kesi za kumkomoa demecrasia inasema hivi hoja zenye nguvu hujibiwa kwa nguvu ya hoja sio ubabe na udicteta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchochezi huleta uvunjifu wa amani. Uvunjifu wa amani hufukuza wawekezaji. Bila wawekezaji hakuna viwanda. Are we together?
amechochea nini? dotto siyo mjomba wa magufuli? wapinzani hawazuiliwi kufanya mikutano na ccm wakiendelea? wateule wa rais siyo wa kutoka kadna ya ziwa. never run from the truth
 
Baba alinishauri niwe polisi lkn nikaasema sitoweza mzee labda tuhame nchi ndio niwe polisi. Ninapokuwa ktk majukumu Mimi kufuata jambo kisa mkubwa amesema siwezi. Jeshi la polisi liache kujivunjia heshima ikiwa Hii habari ni ya kweli. Matokeo Yake ni kulidharaulisha jeshi zima.
Mkuu usinichekeshe,bora uwe police dog ulaya kuliko police man au woman uku bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WASIJE WAKAMUWEKEA ILI KUMCHAFUA. MUNGU AMPIGANIE COZ HUU UTAWALA HAWAKAWII KUKUWEKEA UNGA NDANI
 
ILA TUACHE MASIKHARA, POLISI WETU NI KMA 'BENDERA' NDO MANA WAMEKOSA WELEDI WA KUDHIBITI UHALIFU EG. KIBITI.
 
Back
Top Bottom