Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Mbona Mtukufu malaika toka chato anaropoka zaidi, wabunge wa CCM akina kibajaji, msukuma, kesi ni waropokaji mbona hamujawapima? anzeni kujipima huko CCM kabla hamjaendelea kuwabambikia kesi Wapinzani.

Tatizo mtu akikutwa na kesi tu akisema anahamia huko mnamsafisha kwa didoki sasa nadhani wanafuata wenzao
 
Nimezichoka mbinu hizi za polisi! Ati mkojo? Mbona huyo anayewashauri hao polisi anabugi sana?
 
Jingalao mbunge ni nani unazungumzia kupimwa vilevi wakati Nchi masikini kila kukicha waliingia mikataba ya hovyo hovyo wakiwa wazima kabisa bila kutumia vilevi...
 
kwa mtazamo wangu wanashuku labda alikua akisafirisha madawa ya kulevya
 
Tutafika tu uchumi wa kati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi mwanangu yuko jkt ,nilimwambi katika kazi utakazochagua police usiende na ukienda utamtafuta mama yako mwingine.
 
Asante sana mtumishi wa mungu, tuombe ili moyo wa bwana yule usiwe mgumu kama wa farao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona ile njia aliyopita manji atapita na lissu sasa.

Maamuzi kutoka Juu
Hawakawii kukudunga, kukunusisha au kukunywesha, au kukupandikizia "madawa" nyumbani ili wapate pa kukukamatia. Lissu wamemshindwa kihalali kila wanapomkamata, naona sasa wanamtafutia kesi ya kupandikiza.
 
Mtu akivaa suti na kuvuta bangi anakuwa mkweli?
 
wanatumia nguvu kubwa kwa @TunduLissu mara kwa mara,je sera ya nchi ya viwanda itaanza lini kutekelezwa na mtaani watu wanarandaranda kwa kutoajiliwa,namna hii tutarajie maendeleo
 
wanatumia nguvu kubwa kwa @TunduLissu mara kwa mara,je sera ya nchi ya viwanda itaanza lini kutekelezwa na mtaani watu wanarandaranda kwa kutoajiliwa,namna hii tutarajie maendeleo
Lissu angekuwa anaulizia viwanda kama unavyofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…