Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Mbona Mtukufu malaika toka chato anaropoka zaidi, wabunge wa CCM akina kibajaji, msukuma, kesi ni waropokaji mbona hamujawapima? anzeni kujipima huko CCM kabla hamjaendelea kuwabambikia kesi Wapinzani.

Tatizo mtu akikutwa na kesi tu akisema anahamia huko mnamsafisha kwa didoki sasa nadhani wanafuata wenzao
 
Nimezichoka mbinu hizi za polisi! Ati mkojo? Mbona huyo anayewashauri hao polisi anabugi sana?
 
Jingalao mbunge ni nani unazungumzia kupimwa vilevi wakati Nchi masikini kila kukicha waliingia mikataba ya hovyo hovyo wakiwa wazima kabisa bila kutumia vilevi...
 
Tutafika tu uchumi wa kati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baba alinishauri niwe polisi lkn nikaasema sitoweza mzee labda tuhame nchi ndio niwe polisi. Ninapokuwa ktk majukumu Mimi kufuata jambo kisa mkubwa amesema siwezi. Jeshi la polisi liache kujivunjia heshima ikiwa Hii habari ni ya kweli. Matokeo Yake ni kulidharaulisha jeshi zima.
Mimi mwanangu yuko jkt ,nilimwambi katika kazi utakazochagua police usiende na ukienda utamtafuta mama yako mwingine.
 
Mungu, mtetee Lisu.ccm hawana shida ya kuchunguza mkojo,kwani Lisu alipodaiwa kufanya uchochezi,alikojoa akiwa anaongea huo uchochezi ili wajue kama uliwaletea watu madhara ?

Hawa watu wanatafuta mbinu ya kumdhuru Lisu kwa makemikali/mariajent ya kupimia huo mkojo ! Uchochezi na mkojo vinahusiana nini ? Jamani magufuli,acha udhalilishaji wa kiwango hiki kwa binadamu wenzio !.Mungu safari hii niya miaka mingapi ?nakuomba Mungu wangu isifikie ile miaka ya wana wa Israeli.tenda Baba yangu,tuokoe hali hii imetuelemea mno.hatujui kesho nani atapimwa nini na kwasababu zipi ! Ongea na moyo wa huyu mtu,asizidi kudhuru wananchi, naomba na kuamini,Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mtumishi wa mungu, tuombe ili moyo wa bwana yule usiwe mgumu kama wa farao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona ile njia aliyopita manji atapita na lissu sasa.

Maamuzi kutoka Juu
Hawakawii kukudunga, kukunusisha au kukunywesha, au kukupandikizia "madawa" nyumbani ili wapate pa kukukamatia. Lissu wamemshindwa kihalali kila wanapomkamata, naona sasa wanamtafutia kesi ya kupandikiza.
 
Makondoo mnajulikana. Nchi iko hapa kwasababu ya watu kama wewe. Hata mashuleni boarding nk same thing toka miaka ya nyuma. Mtu akiwa mkweli na mwenye msimamo ni mvuta bangi. Wakati kiukweli wale wenye kujipendekeza ndo maboya kama wewe mlotufikisha hapa tulipo. Suwain

Watu mliozoea kuswagwa mtaona hivyo kuhusu behavior. Hizo behavior nzuri ndo zimewafanya mkasaini mikataba ya kijinga kabisa na kusababishia taifa umasikini? Stupid kabisa!
Mtu akivaa suti na kuvuta bangi anakuwa mkweli?
 
wanatumia nguvu kubwa kwa @TunduLissu mara kwa mara,je sera ya nchi ya viwanda itaanza lini kutekelezwa na mtaani watu wanarandaranda kwa kutoajiliwa,namna hii tutarajie maendeleo
 
wanatumia nguvu kubwa kwa @TunduLissu mara kwa mara,je sera ya nchi ya viwanda itaanza lini kutekelezwa na mtaani watu wanarandaranda kwa kutoajiliwa,namna hii tutarajie maendeleo
Lissu angekuwa anaulizia viwanda kama unavyofanya
 
Back
Top Bottom