Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Unapokua mwanasheria unatarajiwa ufuate sheria na si kuvunja sheria. Sheria ni sheria. Lisu anajua fika who is the owner of law, au labda somo la 'what is law' lilimpita pembeni ndo maana amekua mropokaji/mkurupukaji.

Kumbe sheria ni mali binafsi ya mtu, mkuu naomba nisaidie maana nilikiuwa sijui, Ni Nani mmiliki Wa Sheria??
 
Hili ni swali muhimu sana kwa wanaJF na wananchi kujiuliza.

Je lissu ametakiwa kupima mkojo baada ya mashtaka yake ya uchochezi(ambayo hatujajua kama ndio kosa) ?

au lissu ametakiwa kupimwa mkojo baada ya kupekuliwa nyumbani na kukutwa na ushahidi flani!
Kupima mkojo kutasaidia kujua km ana.UTI. asijehukumiwa kumbe mgonjwa .hua inaathiri akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasiojua uongozi ni nini na utawala ni nini... wataona hii ni sinema....

Ila wazoef wa siasa na wanaojua uongozi ni nin... ma nidhamu ni nini... na nini maana ya raisi... isue kama hii haiwapi taabu... ni calculation ndoogo tu.

Mwissho wa picha woote tutaelewa.... safi waeshmiwa..

Tunaitaji wapinzani na sio wapingaji... tunahitaji mawazo chanya na si upotoshaji.

Kanyee debe tu nakuombea... si unajitangazia we msomi baba... hangaika na kina palamagamba

Sent from "La -Vista"

Kila anapokamatwa huambiwa tunamkamata ili akanyee debe. Sijui ndio nini ssasa hiii????????
 
Upuuzi huu! mbunge wangu wakimfanyia ujinga tuko tayari kufa naye. naapa mbunge wangu akifanyiwa uhuni nitajitoa mhanga kufa na mhusika
I don't care who did it.
 
Back
Top Bottom