Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Sikuiz uchochezi wanapima mkojo

Nawaomba wapinzan huu ndo wakati wa kuliamsha dude tuone nn mwishowake
 
Yaani kuna watu wachafu sana aisee.

Yaani ukahangaike kupima mikojo ya wanaume ili iweje?
 
Siku operesheni madawa ya kulevya ilipotangazwa, haraka tu mimi nilihofu kuna agenda ya ovu ya kisiasa. Hii ni kutokana na mtu aliyetangaza operesheni, namna alivyotangaza, namna ilivopanga kuendesha na eneo la operesheni. Hofu yangu iliniongoza kuamini kuwa walengwa operesheni ni wanasiasa, hususan wa upinzani, ambao takriban wote wapo Dar. Hili la Lissu linaelekea kuthibitisha hofu yangu.
 
BAADA KUTUMIA AINA HIZO ZA "KINACHOHISIWA", MTUMIAJI HUWA KATIKA HALI KUTOJITAMBUA NA KUPATA UJASIRI WA KUFANYA/KUROPOKA CHOCHOTE ANACHOFIKIRI NI SAHIHI. HEBU ANGALIA "MATEJA" WANAVYO JIAMINI MARA BAADA YA KUTUMIA HASHISHI/AFYUNI. MATOKEO YA KIPIMO CHA MKOJO HUONESHA KAMA MTU ANATUMIA VILEVI HIVYO. KWA HALI ILIVYO "INAWEZEKANA" HUYO ALIYETAJWA NI "TEJA MTANASHATI" TOFAUTI NA "MATEJA" WACHAFU WACHAFU MLIOWAZOEA
Jinga wewe
 
Hizo kauli za magufuli zisizo kali,ila za kutisha na chafu,anatumia bangi ? Kama raisi yupo hivi,hao wanachama wake watakuaje ? Kuna wanaotukana kama ccm mitandaoni ? Kuna wanaoua kama ccm ?wamepimwa hata harufu ya jasho lao? Ben hamtaki wazungu wamtafute.Mawazo mnakingia wauaji kifua ?
Kibiti sirro wananchi wajilinde,hakufikiki ! Huu ni ubongo wa kiongozi wajuu.mkihojiwa elimu zenu na vyeti,mnatoa mitusi kama mmekunya damu za wapinzani mliowatoa kafara !
Sasa jambo limefika mbali,wanasheria wa Afrika watataka kujua mkojo na uchochezi vinahusianje na magufuli.
Udikteta mwisho chato,pombe mwisho kaunta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama anatumia dona basi kwisha kazi yake
Tundu hatumii dawa ya aina yeyote hata sigara hatumii nimekaa naye Alabama America wakati anafanya utafiti wa kisheria chumba kimoja miezi saba sijaona hata akivuta sigara sasa nyie mnaosema kama anatumia unga kwanini msimuhisi na vitu vingine?

siku zote tundu ni mkweli na akisimamia ukweli yupo tayari kufa

waulizeni watafiti wa kisheria wanamjua vyema

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 
Tundu hatumii dawa ya aina yeyote hata sigara hatumii nimekaa naye Alabama America wakati anafanya utafiti wa kisheria chumba kimoja miezi saba sijaona hata akivuta sigara sasa nyie mnaosema kama anatumia unga kwanini msimuhisi na vitu vingine?

siku zote tundu ni mkweli na akisimamia ukweli yupo tayari kufa

waulizeni watafiti wa kisheria wanamjua vyema

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
Tecknolojia imeongezeka kwa huku kwetu uchochezi huonekana kwenye mkojo...[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapokua mwanasheria unatarajiwa ufuate sheria na si kuvunja sheria. Sheria ni sheria. Lisu anajua fika who is the owner of law, au labda somo la 'what is law' lilimpita pembeni ndo maana amekua mropokaji/mkurupukaji.
what a dummy
 
It's politicat tact to attack an opponent in his area of weakness!.
Kama anakula ngada, ganja imekula kwake ila I am very sory to know that.
 
Back
Top Bottom