Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

There is a limit in political attack, Tz is almost democratic country jambo la kuzingatia ni kwamba leo ktk madaraka atakuwepo dereva, kesho kondakta, keshokutwa mpigadebe, mtondogoo fundi gari sasa kwa mfumo huu tutalivisha taifa Usudan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ni kitu gani anachotuhumiwa ndugu lissu, au mimi ndo sielewi, nijuanyo ni kwamba unapopimwa mkojo maana yake ji kwamba unatuhumiwa kutumia madawa ya kulevya, je ndo anachotuhumiwa ndugu kissu, kama siyo kwa ni kitu gani ambacho askari wanakitafuta kwa lissu?
 
Unampima mkojo mtu ili kuona kama ana chembechembe za kichochezi?
Huo ni uwendawazimu kwa mtu mwenye mtindio wa ubongo.
 
Watanzania tusubiri majibu,tuache hoja zisizo na mantiki

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom