spinderella
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,393
- 1,905
Supra pubic puncture.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo wakifika watamuambia kojoa!!!!? Na akidai sijisikii kukojoa/sina mkojo.....what next!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Supra pubic puncture.[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo wakifika watamuambia kojoa!!!!? Na akidai sijisikii kukojoa/sina mkojo.....what next!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Mtukufu malaika toka chato anaropoka zaidi, wabunge wa CCM akina kibajaji, msukuma, kesi ni waropokaji mbona hamujawapima? anzeni kujipima huko CCM kabla hamjaendelea kuwabambikia kesi Wapinzani.
ukiona unafurahia mwanadamu mwenzio kupata shida tena kwa uonevu tambua u mchawi kasoro umekosa vitendea kaziUropokaji na ngada ni vitu vinavyoendana
Inashangaza sanaKama mkojo msafi sijui anaogopa nini.Mbona Mch. Gwajima alionesha ushirikiano akawa huru?
Inashangaza wapi?? After kupima mkojo Bashite akaleta CD ya Shilawandu Clouds ili wamjeruhi Gwajima mwishoni...baba Askofu 7 kijana Bashite Maliyamungu 0Inashangaza sana
Mimi mwanangu yuko jkt ,nilimwambi katika kazi utakazochagua police usiende na ukienda utamtafuta mama yako mwingine.Baba alinishauri niwe polisi lkn nikaasema sitoweza mzee labda tuhame nchi ndio niwe polisi. Ninapokuwa ktk majukumu Mimi kufuata jambo kisa mkubwa amesema siwezi. Jeshi la polisi liache kujivunjia heshima ikiwa Hii habari ni ya kweli. Matokeo Yake ni kulidharaulisha jeshi zima.
Asante sana mtumishi wa mungu, tuombe ili moyo wa bwana yule usiwe mgumu kama wa farao.Mungu, mtetee Lisu.ccm hawana shida ya kuchunguza mkojo,kwani Lisu alipodaiwa kufanya uchochezi,alikojoa akiwa anaongea huo uchochezi ili wajue kama uliwaletea watu madhara ?
Hawa watu wanatafuta mbinu ya kumdhuru Lisu kwa makemikali/mariajent ya kupimia huo mkojo ! Uchochezi na mkojo vinahusiana nini ? Jamani magufuli,acha udhalilishaji wa kiwango hiki kwa binadamu wenzio !.Mungu safari hii niya miaka mingapi ?nakuomba Mungu wangu isifikie ile miaka ya wana wa Israeli.tenda Baba yangu,tuokoe hali hii imetuelemea mno.hatujui kesho nani atapimwa nini na kwasababu zipi ! Ongea na moyo wa huyu mtu,asizidi kudhuru wananchi, naomba na kuamini,Amen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawakawii kukudunga, kukunusisha au kukunywesha, au kukupandikizia "madawa" nyumbani ili wapate pa kukukamatia. Lissu wamemshindwa kihalali kila wanapomkamata, naona sasa wanamtafutia kesi ya kupandikiza.Naona ile njia aliyopita manji atapita na lissu sasa.
Maamuzi kutoka Juu
Viko wapi tuweni wakweli uhalifu mwingine hauonekani niwawapinzani tu, haki itendekeUwepo wa viwanda hauhalalishi uhalifu!
Mtu akivaa suti na kuvuta bangi anakuwa mkweli?Makondoo mnajulikana. Nchi iko hapa kwasababu ya watu kama wewe. Hata mashuleni boarding nk same thing toka miaka ya nyuma. Mtu akiwa mkweli na mwenye msimamo ni mvuta bangi. Wakati kiukweli wale wenye kujipendekeza ndo maboya kama wewe mlotufikisha hapa tulipo. Suwain
Watu mliozoea kuswagwa mtaona hivyo kuhusu behavior. Hizo behavior nzuri ndo zimewafanya mkasaini mikataba ya kijinga kabisa na kusababishia taifa umasikini? Stupid kabisa!
Kama maana ya udikteta ndio hiyo. Nini maana ya udikteta uchwara?
Ndio maana kuna wizara ya viwanda na wizara ya mambo ya ndani.Viko wapi tuweni wakweli uhalifu mwingine hauonekani niwawapinzani tu, haki itendeke
Lissu angekuwa anaulizia viwanda kama unavyofanyawanatumia nguvu kubwa kwa @TunduLissu mara kwa mara,je sera ya nchi ya viwanda itaanza lini kutekelezwa na mtaani watu wanarandaranda kwa kutoajiliwa,namna hii tutarajie maendeleo