Polisi wampeleka Tundu Lissu kwa mkemia mkuu kupima Mkojo, awagomea..

Hakuna kosa duniani ambalo halihusiani na uteja! Unga unamsukuma mtu kufanya lolote...
 
[emoji23][emoji23] wameona uropokaji sio wa kiwango hicho
navyojua ngada unakua uko cool sana
hio ngada ya wapi mkuu

Maamuzi kutoka Juu
Labda cha Arusha. Sema wanamzungusha huko kote kumcheleweshea dhamana akae lupango hadi j3.
 
Naomba kufahamishwa unaweza kumchukua mtu vipimo bila hati ya mahakama?

Je polisi ana mamlaka ya kufanya vipimo bila ya mahakama? Je matokeo hayo yanaweza kuwa sehemu ya ushahidi?
PF3 inatosha
 
Nimesoma na Tundu Lissu sikuwahi muona hata akionja pombe labda kama kajifunza ukubwani
Anapiga Tusker baridi kitambo tu. Hilo la unga ndo laweza kuwa kichekesho cha mwaka, hata wao polisi wanajua hatumii.
 
Naomba ukasome kitabu hiki "udikteta: kiongozi cha mwanafunzi."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapokua mwanasheria unatarajiwa ufuate sheria na si kuvunja sheria. Sheria ni sheria. Lisu anajua fika who is the owner of law, au labda somo la 'what is law' lilimpita pembeni ndo maana amekua mropokaji/mkurupukaji.
 
Ili wauone unavyocochea.
 
Mkuu kwa kuwa wewe umezoea kubambikiza unajua kila mtu anawaza kubambikizia? Kama kubambikiza ni rahisi kihivyo walishindwa nini kumbambikizia Gwajima?
huyo Gwajima hajaigusa ikulu kama Lissu
 
Nimetafakari sana kitendo cha kupekulhwa Mh Tundu Lissu na kualazimishwa apimwe mkojo ni kitendo cha kutaka kupewa Kesi aidha ya matumizi ya MADAWA YA KULEVYA au alitaka Kuhusishwa (kusingiziwa) ni DRUGS DEAL.
 
Waache ujinga na kupoteza kodi zetu kukimbizana na lissu...wajibu hoja kwa vitendo...kwani kuryhusu uhuru wa kuongea wao wanapungukiwa nn?
Tangia wazuie bunge laivu wamejenga kiwanda gani? Tangia wazuie mikutanao ya vyama vya siasa waseme wameokoa sh ngapi na wamenunua madawa kiasi gani hospitalini....kweli unaposoma kemia unaishia kukariri periodic chart/ table...halo helena lile beberu...........MZILANKENDE NAYE...ARGHHHH.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…