Pendragon24
Member
- Aug 8, 2018
- 68
- 97
Kuelekea maandamano ya CHADEMA siku ya jumatatu 23.09.2024 kuanzia majira ya saa moja kamili asubuhi mpaka kumi na mbili jioni.
Polisi wanaweweseka kuzurula na magari yao kwenye baadhi ya njia kuu hapa mjini na kumaliza mafuta ambayo wangetumia kusaidia changamoto za utekaji wa watu nchini.
Wao wapo busy na magari yao kutisha wananchi ili waogope kushiriki maandamano hayo.
Nataka tu niwaambie enyi ndugu polisi HAKUNA MTUNAMTISHA wala hakuna mtu anayeogopa HIZO SIRAHA ZENU.
Tutashiriki maandamano hayo bila hofu na bila kumwogopa yeyote kwani hii ni ardhi yetu.
Mimi nimekutana nao pale kwenye mataa ya mwege asubuhi hii wamo ndani ya gari wanapigwa na jua la saa nne
Wengine nimekutana nao wanazunguka kutoka barabara hii ya Sam Nujoma wanaelekea mitaa ya Sinza.
Nguvu hii wanayoitumia kuzuia watu wangeitumia ku deal na watekaji TANZANIA ingekuwa salama kwetu sisi sote.
Kama nawewe kuna mahali umewaonaa wastue wana hapa waelewe kuwa HATUPO SALAMA.