Polisi wanaozunguka na magari hapa mjini wanamtisha nani..!?

Wako poa tu hawana shida na raia mwema
Endelea tu na shughuli zako za kutafuta riziki
Hata uone wamebeba vifaru mabegani
Endelea na maisha yako na biashara kama raia mwema
Kwa hio ukiandamana unakua sio raia mwema? Where does this shit come from?
 
Polisi wanafanya kazi yao. Wameajiriwa na wanalipwa kwa ajili hiyo.

Wanafuata amri, hawatakelezi matakwa yao. NI AJIRA kama AJIRA PORTAL. Cc:Mbaga Jr

Wakiamrishwa kunyuka virungu vya ugoko mjiandae kupokea kichapo cha paka pori.

Ndo maana mbowe kajificha anajua mziki mnene wa dozi za virungu vya mninga.

Cc: Lamomy Lucas Mwashambwa mshamba_hachekwi Mwachiluwi ChoiceVariable
 
Kuelekea maandamano ya CHADEMA siku ya jumatatu 23.09.2024 kuanzia majira ya saa moja kamili asubuhi mpaka kumi na mbili jioni.

Polisi wanaweweseka kuzurula na magari yao kwenye baadhi ya njia kuu hapa mjini na kumaliza mafuta ambayo wangetumia kusaidia changamoto za utekaji wa watu nchini.

Wao wapo busy na magari yao kutisha wananchi ili waogope kushiriki maandamano hayo.

Nataka tu niwaambie enyi ndugu polisi HAKUNA MTUNAMTISHA wala hakuna mtu anayeogopa HIZO SIRAHA ZENU.

Tutashiriki maandamano hayo bila hofu na bila kumwogopa yeyote kwani hii ni ardhi yetu.

Mimi nimekutana nao pale kwenye mataa ya mwege asubuhi hii wamo ndani ya gari wanapigwa na jua la saa nne
Wengine nimekutana nao wanazunguka kutoka barabara hii ya Sam Nujoma wanaelekea mitaa ya Sinza.
Nguvu hii wanayoitumia kuzuia watu wangeitumia ku deal na watekaji TANZANIA ingekuwa salama kwetu sisi sote.
Kama nawewe kuna mahali umewaonaa wastue wana hapa waelewe kuwa HATUPO SALAMA.

"We were forced to form a Paramilitary Wing of uMkhonto we Sizwe within the ANC because the Government of Whites Minorities of South Africa was terrorising us by using the State Security Forces."

Oliver Reginald Tambo, a former President of African National Congress (ANC) from 1967 to 1993.
 
Duniani kote wakati wengine wanafanya maandamano kuna wengine wanawaza kuiba na kupora mali za watu
Police wapo kutuliza amani na kulinda mali za wananchi
Wala sishangai uwepo wao mitaani maana ndio kazi yao kulinda
Muandamane tu mtalindwa kama ruhusa ipo
 
Morocco kuelekea Argentina
b2894c7c18e18eec1a882ed876a55e0f.png
 
Keaho natoka mwanza asubuhi na allys dom nafika saa 10 jioni, nauunga na sgr spesho kwa maandamano
 
Kuimarisha ulinzi n jukumu mama la jeshi la polisi
Doria ni njia moja wapo inayotumika kuimarisha ulinzi
Kwa sisi raia wema tunafurahi kuona ulinzi ukiimarishwa kwan tunafanya shughuli zetu bila shida yoyote.
Wanaotetemeka siku zote kwa kuwaona polisi ni wahalifu . Jeshi lipo kwa ajili ya usalama wetu na mali zetu
 
Kwanini wanateka, wanatesa na kuua? Umemchukua mzee kibao unaenda kumtesa na kumuua kwanini usimfikishe kwenye vyombo vya sheria?
 
Kuelekea maandamano ya CHADEMA siku ya jumatatu 23.09.2024 kuanzia majira ya saa moja kamili asubuhi mpaka kumi na mbili jioni.

Polisi wanaweweseka kuzurula na magari yao kwenye baadhi ya njia kuu hapa mjini na kumaliza mafuta ambayo wangetumia kusaidia changamoto za utekaji wa watu nchini.

Wao wapo busy na magari yao kutisha wananchi ili waogope kushiriki maandamano hayo.

Nataka tu niwaambie enyi ndugu polisi HAKUNA MTUNAMTISHA wala hakuna mtu anayeogopa HIZO SIRAHA ZENU.

Tutashiriki maandamano hayo bila hofu na bila kumwogopa yeyote kwani hii ni ardhi yetu.

Mimi nimekutana nao pale kwenye mataa ya mwege asubuhi hii wamo ndani ya gari wanapigwa na jua la saa nne
Wengine nimekutana nao wanazunguka kutoka barabara hii ya Sam Nujoma wanaelekea mitaa ya Sinza.
Nguvu hii wanayoitumia kuzuia watu wangeitumia ku deal na watekaji TANZANIA ingekuwa salama kwetu sisi sote.
Kama nawewe kuna mahali umewaonaa wastue wana hapa waelewe kuwa HATUPO SALAMA.
Wanawatishia wasiotii amri bila kushurutishwa.
 
Unatii amri bila shuruti wanakupiga pingu wanakuchukua wanaenda kukutesa na kukuua kwanini wasikufikishe kwenye vyombo vya sheria? Hivi nyinyi mnaelewa mnachokiandika? Shule mlifundishwa ujinga?
 
Back
Top Bottom