Von Dee
JF-Expert Member
- Apr 7, 2018
- 349
- 601
Nimewaona pia Baracuda na Segerea magereza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimewaona pia Baracuda na Segerea magereza
Nimeona huko temeke wanatembea makundi makundi wakiwa na bunduki.Kuelekea maandamano ya CHADEMA siku ya jumatatu 23.09.2024 kuanzia majira ya saa moja kamili asubuhi mpaka kumi na mbili jioni.
Polisi wanaweweseka kuzurula na magari yao kwenye baadhi ya njia kuu hapa mjini na kumaliza mafuta ambayo wangetumia kusaidia changamoto za utekaji wa watu nchini.
Wao wapo busy na magari yao kutisha wananchi ili waogope kushiriki maandamano hayo.
Nataka tu niwaambie enyi ndugu polisi HAKUNA MTUNAMTISHA wala hakuna mtu anayeogopa HIZO SIRAHA ZENU.
Tutashiriki maandamano hayo bila hofu na bila kumwogopa yeyote kwani hii ni ardhi yetu.
Mimi nimekutana nao pale kwenye mataa ya mwege asubuhi hii wamo ndani ya gari wanapigwa na jua la saa nne
Wengine nimekutana nao wanazunguka kutoka barabara hii ya Sam Nujoma wanaelekea mitaa ya Sinza.
Nguvu hii wanayoitumia kuzuia watu wangeitumia ku deal na watekaji TANZANIA ingekuwa salama kwetu sisi sote.
Kama nawewe kuna mahali umewaonaa wastue wana hapa waelewe kuwa HATUPO SALAMA.
Nategemea kuingia tena mjini tarehe 23 ,nahofia vurugu kijana.ukiona iveco babu kimbia ndani najua na uho uzee una mbio
nitakuja kukufwata na msafara mdogoNategemea kuingia tena mjini tarehe 23 ,nahofia vurugu kijana.
Polisi elfu saba wanaweza kuenea nchi nzima?Nasikia wamemwaga Tanzania nzima, ni kweli?
Nina peugeout 504 old 1970s ,nitakuja kukufwata na msafara mdogo
Ndio maisha yetu hayo kaka....!Mkuu hiyo avatar Yako imeniumiza sana
ushapata nipo airport kukungoja kuanzia nowNina peugeout 504 old 1970s ,
zetu zile wazee ,niliacha somewhere nitaomba escort.
Hakuna maandamano yatakayofanyikaKuelekea maandamano ya CHADEMA siku ya jumatatu 23.09.2024 kuanzia majira ya saa moja kamili asubuhi mpaka kumi na mbili jioni.
Polisi wanaweweseka kuzurula na magari yao kwenye baadhi ya njia kuu hapa mjini na kumaliza mafuta ambayo wangetumia kusaidia changamoto za utekaji wa watu nchini.
Wao wapo busy na magari yao kutisha wananchi ili waogope kushiriki maandamano hayo.
Nataka tu niwaambie enyi ndugu polisi HAKUNA MTUNAMTISHA wala hakuna mtu anayeogopa HIZO SIRAHA ZENU.
Tutashiriki maandamano hayo bila hofu na bila kumwogopa yeyote kwani hii ni ardhi yetu.
Mimi nimekutana nao pale kwenye mataa ya mwege asubuhi hii wamo ndani ya gari wanapigwa na jua la saa nne
Wengine nimekutana nao wanazunguka kutoka barabara hii ya Sam Nujoma wanaelekea mitaa ya Sinza.
Nguvu hii wanayoitumia kuzuia watu wangeitumia ku deal na watekaji TANZANIA ingekuwa salama kwetu sisi sote.
Kama nawewe kuna mahali umewaonaa wastue wana hapa waelewe kuwa HATUPO SALAMA.
Oh ! Basi mitandao inapotosha ,nilifanikiwa kuona twitter kwa siku ya jana ila kumbe ni Dar es salaam pekee.Polisi elfu saba wanaweza kuenea nchi nzima?
HawaweziPolisi elfu saba wanaweza kuenea nchi nzima?
Airport tena? Ndio wapi huko?ushapata nipo airport kukungoja kuanzia now
Wako poa tu hawana shida na raia mwemaNimewaona pia Baracuda na Segerea magereza
Wanatafuta wa kumuua?Nimeona huko temeke wanatembea makundi makundi wakiwa na bunduki.
Siku mbili tatu hizi wamekua wanatembea tembea kwa makundi makundi wakiwa na bunduki.
a nakusubiliAirport tena? Ndio wapi huko?
Nisubiri stand ya buses (Magufuli) nafika na bus linaitwa ISLAM au Hood kutoka chato.