Polisi wanaozunguka na magari hapa mjini wanamtisha nani..!?

Nimeona huko temeke wanatembea makundi makundi wakiwa na bunduki.

Siku mbili tatu hizi wamekua wanatembea tembea kwa makundi makundi wakiwa na bunduki.
 
Hakuna maandamano yatakayofanyika
 
Hakuna raia nwema mtanzania anaogopa polisi

Mimi nimepita walipokuwa Juani nikajisemea nasikia kiu ila hela sina wakaninunulia juice ya mia saba

Hakuna polisi anatisha raia wema hata ukute polisi mia wako mbele ya duka lako na silaha nzito za kivita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…