zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Kwa hio ukiandamana unakua sio raia mwema? Where does this shit come from?Wako poa tu hawana shida na raia mwema
Endelea tu na shughuli zako za kutafuta riziki
Hata uone wamebeba vifaru mabegani
Endelea na maisha yako na biashara kama raia mwema
Nipe ratiba ya maandamano,tunaanzia wapi nikitia mguu?oky unanikuta hap
a nakusubili
Kuelekea maandamano ya CHADEMA siku ya jumatatu 23.09.2024 kuanzia majira ya saa moja kamili asubuhi mpaka kumi na mbili jioni.
Polisi wanaweweseka kuzurula na magari yao kwenye baadhi ya njia kuu hapa mjini na kumaliza mafuta ambayo wangetumia kusaidia changamoto za utekaji wa watu nchini.
Wao wapo busy na magari yao kutisha wananchi ili waogope kushiriki maandamano hayo.
Nataka tu niwaambie enyi ndugu polisi HAKUNA MTUNAMTISHA wala hakuna mtu anayeogopa HIZO SIRAHA ZENU.
Tutashiriki maandamano hayo bila hofu na bila kumwogopa yeyote kwani hii ni ardhi yetu.
Mimi nimekutana nao pale kwenye mataa ya mwege asubuhi hii wamo ndani ya gari wanapigwa na jua la saa nne
Wengine nimekutana nao wanazunguka kutoka barabara hii ya Sam Nujoma wanaelekea mitaa ya Sinza.
Nguvu hii wanayoitumia kuzuia watu wangeitumia ku deal na watekaji TANZANIA ingekuwa salama kwetu sisi sote.
Kama nawewe kuna mahali umewaonaa wastue wana hapa waelewe kuwa HATUPO SALAMA.
up anapewa mauno feni na mchepuko atakubali kuandamanaKwa hawa watanganyika manyumbu wapenda PAPUCHI na VINYEO usitegemee kuona mtu anaandamana.
Siku hiyo kila mtu atakuwa bize anachungulia kwenye whatsApp.
Mbowe mwenyewe atakuwa kajibanza chemba anasikilizia.
Cc: Mwachiluwi
Nope.Wanatafuta wa kumuua?
Morocco kuelekea ArgentinaNipe ratiba ya maandamano,tunaanzia wapi nikitia mguu?
Sasa silaha za moto za nini km wanawinda tembo mbugani? Ukijichanganya wanakuuaNope.
Itakua kuwaogopesha wote wenye Nia au mawazo ya maandamano iyo 23 September
Morocco kuelekea Argentina
Boss, naomba kazi mana nimechoka kupambana na ajira PortalPolisi wanafanya kazi yao. Wameajiriwa na wanalipwa kwa ajili hiyo.
Wanafuata amri, hawatakelezi matakwa yao. NI AJIRA kama AJIRA PORTAL. Cc:Mbaga Jr
Wakiamrishwa kunyuka virungu vya ugoko mjiandae kupokea kichapo cha paka pori.
Ndo maana mbowe kajificha anajua mziki mnene wa dozi za virungu vya mninga.
Cc: Lamomy Lucas Mwashambwa mshamba_hachekwi Mwachiluwi ChoiceVariable
naona umapania kweli sifa uwe na mbio
Kwanini wanateka, wanatesa na kuua? Umemchukua mzee kibao unaenda kumtesa na kumuua kwanini usimfikishe kwenye vyombo vya sheria?Kuimarisha ulinzi n jukumu mama la jeshi la polisi
Doria ni njia moja wapo inayotumika kuimarisha ulinzi
Kwa sisi raia wema tunafurahi kuona ulinzi ukiimarishwa kwan tunafanya shughuli zetu bila shida yoyote.
Wanaotetemeka siku zote kwa kuwaona polisi ni wahalifu . Jeshi lipo kwa ajili ya usalama wetu na mali zetu
Wanawatishia wasiotii amri bila kushurutishwa.Kuelekea maandamano ya CHADEMA siku ya jumatatu 23.09.2024 kuanzia majira ya saa moja kamili asubuhi mpaka kumi na mbili jioni.
Polisi wanaweweseka kuzurula na magari yao kwenye baadhi ya njia kuu hapa mjini na kumaliza mafuta ambayo wangetumia kusaidia changamoto za utekaji wa watu nchini.
Wao wapo busy na magari yao kutisha wananchi ili waogope kushiriki maandamano hayo.
Nataka tu niwaambie enyi ndugu polisi HAKUNA MTUNAMTISHA wala hakuna mtu anayeogopa HIZO SIRAHA ZENU.
Tutashiriki maandamano hayo bila hofu na bila kumwogopa yeyote kwani hii ni ardhi yetu.
Mimi nimekutana nao pale kwenye mataa ya mwege asubuhi hii wamo ndani ya gari wanapigwa na jua la saa nne
Wengine nimekutana nao wanazunguka kutoka barabara hii ya Sam Nujoma wanaelekea mitaa ya Sinza.
Nguvu hii wanayoitumia kuzuia watu wangeitumia ku deal na watekaji TANZANIA ingekuwa salama kwetu sisi sote.
Kama nawewe kuna mahali umewaonaa wastue wana hapa waelewe kuwa HATUPO SALAMA.
Unatii amri bila shuruti wanakupiga pingu wanakuchukua wanaenda kukutesa na kukuua kwanini wasikufikishe kwenye vyombo vya sheria? Hivi nyinyi mnaelewa mnachokiandika? Shule mlifundishwa ujinga?Wanawatishia wasiotii amri bila kushurutishwa.
naona umapania kweli sifa uwe na mbio
ondoa shaka,wazee nguvu tunazo.naona umapania kweli sifa uwe na mbio
nyuma yakoondoa shaka,wazee nguvu tunazo.